Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Mkuu sisi hatujapinga huyo binti kuachwa,usaliti ni kitu kibaya na sidhani kama kuna mtu anatetea usaliti.
Tunachosema sisi ni namna uliyomuacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulitaka aachwe kidiplomasia sio? [emoji23][emoji23]
nikaona baba ake anaongea upuuzi..Bado tunasoma ushenzi wa kishenzi aliofanyiwa mwamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bill sijamuonanikaona baba ake anaongea upuuzi..
.hivi bro bill kafika huku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Dada Kama siyo Muhusika Basi unachotetea siyo sawa katika Wanawake wote waliofuatilia Huu Uzi wewe umekugusa Sana kwa alichokifanya na unaona Ni sawa alichokifanya Mwenzio kutoa tigo ilihali anadanganya uaminifu wa kuolewa. Tigo Ni dhambi na afanye hasitahiri huruma yoyote. Sasa angeolewa angefanyaje kuzuia yatokanayo na utowajo wa tigoBill sijamuona
Jamaa anasema alikaza kila sehemu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Binti alifanya ushenzi wa kishenzi,[emoji38][emoji38]
Jamaa atakuwa alisema wewe hunijui wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hayo kama hauko hivoMimi ni mvivu kuingia international forum,Naomba unitag huko Chief.
Ila hujanionyesha sehemu nilipojilinganisha na mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichokiandika ni kuntu!Mkuu, nimepata nafasi ya kusoma huu mkasa wako kuanzia mwanzo hadi mwisho kwa umakini sana. Ni wa kusisimua sana. Nina haya ya kusema.
1.Kama yote ambayo umeyaandika yana ukweli (ikiwa na pamoja na kwamba wewe huwezi kuwa na mahusiano ya kingono au kugonga wanawake wawili kwa wakati mmoja) basi itoshe kusema kwamba wewe ni mmoja kati ya wanaume wachache sana duniani ambao wanaelewa hasa na kuiishi maana ya commitment ya kingono.
2.Aliesema kwamba ukianza safari ya kulipa kisasi basi uchimbe makaburi mawili kwanza, hakukosea. I hope umeshaandaa hayo makaburi, naona yakienda kuhitajika muda si mrefu ujao.
3.Huyo rafiki wa huyo binti ni tatizo kubwa sana kwako (ni weak link, au wahuni wanaita "loose end"), kuna uwezekano mkubwa sana yeye akawa kiungo muhimu kwenye kuhitajika makaburi mawili niliyotaja hapo juu. Kama unaweza, kata mawasiliano ya aina yote na yeye before it is too late.
4.Sometimes, we learn the most important lessons in life the hard way. I hope you wont have to.
Hiyo ndo dawa ya msaliti hafai kuwa mama bora kwa kutaka kutoa 0712.Unajua mimi sikubaliani na binti kufanya usaliti,amefanya udanganyifu na udanganyifu ni dhambi.
Na jamaa alikuwa na haki ya kumuacha kabisa, hata ingekuwa mimi..mtu msaliti siwezi kuendelea naye hata iweje.
Shida ni namna alivyomuacha,
Kulikuwa kuna haja gani ya kwenda kumdharirisha hivyo?
Kwanini asimuonyeshe tu vithibitisho na kumuacha pasi na kwenda hadi kwao kama baba yake alivyosema kwamba kwanini hakusema tu ili wapige simu kwamba hawataenda kuonekana.
Namna alivyomuacha ndicho kitu tunakiongelea hapa.
Imemgharimu binti na matokeo yake hayo madhara naye anaanza kuyasuffer..si yeye kwamba yupo salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamke ni aibu ya kudhalilishwa kwa matendo yake ndiyo iliyomsumbua sana ndiyo iliyomkondesha na wala si mapenzi aliyonayo kwa mshikaji.Iwe ya kutunga isiwe ya kutunga Lakini Mwanamke yeyote anayetarajia kuolewa na akawa anatoa huko halafu muowaji akawa siyo Muhusika wa utendaji huo uovu hapashwi msamaha wa Aina yoyote ....
Anayetetea ajiweke katika uzazi Mwanao anakuletea mchumba halafu unakuja kujua kuwa Kuna limwanaume limeshamtoa bikira ya Nyuma utakubali kupokea hiyo mahari, utakubali kuhudhuria hiyo harusi, utakubali kumfanyia send-off
We ndo mjinga unayetetea ujinga unatetea demu kuliwa 0713ni katili sana huyo jamaaa....wanaomsifia wanamjaza ujinga itoshe kusema huyo jamaa ni MPUUZI
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kn wanaume humu hawana tofauti na dada zetu wanaongea upuuzi wameshazoea kupelekeshwa ovyo.Nimegundua kupitia comment wengi humu si waaminifu, mnapenda sana kusamehewa mkijiwekea kinga mkikosea nanyinyi msamehewe, ukikosea utalipia na ndo kanuni ya maisha ilivyo, kabla sijafanya lolote nilimtahadharisha huyu binti, wala haikuwa surprise kwa kilichotokea, alafu mbaya zaidi kuna wanaume humu nao wanasema eti mimi katili, ndo wonder mnapelekeshwa na wanawake zenu, malofa kweli.
Huo ndo mshahara wake mkuu mbn unatetea ivo una mpango gn na wewe.Mkuu sisi hatujapinga huyo binti kuachwa,usaliti ni kitu kibaya na sidhani kama kuna mtu anatetea usaliti.
Tunachosema sisi ni namna uliyomuacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa ila hii hali imeingia kwenye mlango wa wanaume kuna hali itakuwa ni ngumu kwako kuielewa jinsi wanaume tunavyohisi kwenye hayo mazingira.Mkuu sisi hatujapinga huyo binti kuachwa,usaliti ni kitu kibaya na sidhani kama kuna mtu anatetea usaliti.
Tunachosema sisi ni namna uliyomuacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unampa laki 2 kwa wiki lakini still akataka kutoa jicho kwa laki 1??...Kuna shida mahali..Uenda alikuwa anahitaji zaidi ya unavyompatia..(Mahitaji & Penzi)Mwanamke ambaye namuwekea si chini ya laki 2 kila wiki, hiyo sio ya kula wala mavazi, ni vocha na matumizi yake binafsi, gari yake muda wote ina mafuta, nikamfanya kuwa Malkia kuliko mama angu mzazi, anatokea mama mmoja humu anasema mimi katili, katili gani duniani anaweza kufanya mambo km haya niliyomfanyia huyu binti, tamaa zimepita kiasi kila hela anaitaka, haridhiki, elfu 70 sijui laki inamtoa iman, tuweni serious kdg nyie.
Sijui nakusimulia kwa njia gani mkuu kama upo tayari sawa mkuuNisimulie mimi then nitaileta jumwaani.
Mkuu jitahidi kusimulia tu hivyohivyo,tutakuelewa tu.Sijui nakusimulia kwa njia gani mkuu kama upo tayari sawa mkuu
Wewe Sasa umefafanua vizuri na nadhani umenielewa nini nasema.Nakuelewa ila hii hali imeingia kwenye mlango wa wanaume kuna hali itakuwa ni ngumu kwako kuielewa jinsi wanaume tunavyohisi kwenye hayo mazingira.