Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Ndio tunasubiri arudi na stori ya Baba mkwe wake,alisema Kuna project anafanya imemuweka busy.
Mtu analipa kisasi Kwa Baba mkwe hadi Mzee wa watu anataka kujinyonga😂😂😂😂😂
Baba mkwe atakuwa mstaarabu sana na mlokole haswa! Masikini😢 pole yao mwanao kawaingizia kwenye majanga na huyo aliyemuharibia ukute alishaoaga huko! Yani huyo naye jamani vilaki laki tu ndio ucheat duhh! Na kuhudumiwa alikuwa anahudumiwa.. mengine kajitakia mwenyewe tu bwana! Japo adhabu aliyopewa ni kali sana!
 
Wanamsifia wao wanaweza kufanya hivyo? Sema hpo kila aliyechitiwa anatafutia hapa ahueni kwa mwanaume mwenzie hakuna lolote! Wanashindwa kujisimamia kivyao ndio maana wanajikombakomba hapa mfyuu!😂
Wanamsifia ni mwamba 😂
Angemuacha tu huyo Dada bila kudhalilisha hadi wazazi wake.
 
Alitoa muendelezo kuhusu Baba mkwe wake kupanga revenge. ila alisema atakuja tena kuelezea vizuri

Nimekumiss Dadangu
Kitambo sana
Nimekumiss pia kamamaa kangu..!
how’s life treating you..!??

ooow’, kumbe ulifika hadi kwa baba mkwe.!? nilijua umeishia kule kwa binti tu..!
huyu kaka ana roho ngumu sijapata kuona..!🙌🏾
 
Wanamsifia ni mwamba 😂
Angemuacha tu huyo Dada bila kudhalilisha hadi wazazi wake.
Mwamba kudhalilisha na kuhangaisha wakwe? Kujitafutia tu mambo mengine! Yani haikuwa na haja hata ya kuitisha mambo ya mahali sijui nini! Angekausha tu ni kisasi tosha kwa mwanamke aliye timamu!
 
Nimekumiss pia kamamaa kangu..!
how’s life treating you..!??

ooow’, kumbe ulifika hadi kwa baba mkwe.!? nilijua umeishia kule kwa binti tu..!
huyu kaka ana roho ngumu sijapata kuona..!🙌🏾
Mi nimemfuatilia hadi mwisho
Na namsubiri atuletee muendelezo wake.
Starring wetu asidedi tu katikati ya mchezo.
....
Ana roho ngumu ila mimi the way anaandika na kusimulia yaani nilikuwa nasoma huku natamani kuzimia Kwa kicheko...eti binti aliyefanya ushenzi wa kishenzi 😹

....
Nashukuru Mungu dada bado nahema
I was sick, but God has been good to me,I'm recovering 🙏
 
Kwakweli katika watu wanaomsubiri jamaa kwa hamu naona ni wewe!

Halafu hivi huyo pls god huwa anaweka emoji ya hate kwanini hata haiendani na reply?nimeona kakufanyia comments zote mbili, huwa ana shida gani?
 
Iko wapi hii ya baba mkwe?
Hii hapa LP
 
Kwakweli katika watu wanaomsubiri jamaa kwa hamu naona ni wewe!

Halafu hivi huyo pls god huwa anaweka emoji ya hate kwanini hata haiendani na reply?nimeona kakufanyia comments zote mbili, huwa ana shida gani?
Mungu anipe uhai nishuhudie mrejesho wa KOROE
Maana kila mwaka namwita atuletee mrejesho😹😹😹

Jf we utaiweza?
Reaction za hate ni kawaida
Tumepita mengi magumu kuliko hata hizo reaction za hate
Ni kawaida.
 
Acheni kutia huruma kwenye nyuzi za wanaume.

Hicho ndio kilitakiwa. Hakuna kusamehe msaliti unamlipa kadri ya uwezo wako..

A bitc% is always a bitc$
Period.

Jamaa angezubaa angepata na ngoma.
Kuna huyo mmoja kanifanyia mambo ya hovyo sana mwaka jana, kachezea huko anajirudi kwa pigo za kutoweza ishi bila mimi. Kuna muda huruma inaingia sababu ya familia zetu zina ukaribu la sivyo ningemfanya kitu asinisahau mpaka anaenda kaburini
 
Pole sana sana jamani, kwenye haya maisha behind the screen every single soul is struggling with something..!🙌🏾

Wishing you a very quick recovery mdogo wangu mzuri, Mungu akaendelee kukuonekania kwa ukubwa wake..!

ana usimuliaji mzuri sana ni kweli, ila roho sasa..!? hapo ukute hata sura ni ya upole..! Mungu atuepushe na watu wa hivyo kwa hakika..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…