Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

2022-2024, kuna vitu kimetokea very interesting. Kumbe yule jamaa aliyetembea naye aliyekuwa anataka na side B alikuwa HIV+. Na km mnakumbuka tang nigundue kwamba simuelew elewi sikuwahi kulala naye tena, so nipo salama kbs sina VVU..

Ilikuwaje nimejua? Nani alinambia? Kuna mambo yalitokea hapa katikati pia.. kuna msala mzito sana ulitokea wa Polisi kupewa pesa na baba ake binti waje wanifanyie kitu mbaya, labda mzee alijua mi ni mwepesi, ***** moto uliowaka plan ikabackfire hadi polis wakajuta kujiingiza kweny mambo ya kifala, ikapelekea msala kumrudia yule mzee hadi akataka kujinyonga, hii nayo ilikuwaje??

Kuna demu wa JF alikuja PM alijua mim ni Pimbi, ni jimama lina pesa pesa hv kdg, huyu naye ana mkasa wake.. aliyakanyaga huyu, hii naye ilikuwaje?

Wengine pia wanatak kujua yule binti wa Kimburu kiunaga ubaga jinsi nilivyomalizana naye Hadi nikampiga chini, hapa napo pana balaa lake zito pia.

Mambo yapo mengi, nipo chaka sana kwasasa nafanya project moja hivi tough sana.. but Nitarudi niwape mikasa yote hii.

Andaa popcorn zako.

NB: kuna ambao wanadhan huu mkasa ni uongo, siku moja mbele ya safari nitafanya interview na nitawajuza, ila sio hv karibuni.
 
Aiseee!!
Haya mambo yapo serious kiasi hicho? 😳
Binafsi nilidhani changamsha genge.

Ila kwa ile revenge, lazima tu wangereact kwa namna moja ama nyingine
Aisee🙌🏿

Tuhadithie kwa uchache Mkuu.
Baba mkwe akakufanyia upuuuzi wa kipuuzi na wewe ukamfanyia upuuzi wa kipuuzi🤣🤣
 
Screenshot_20221003-150930~5.jpg
 
Ila una roho ngumu jamaa yangu,sijui we utakuwa ni kabila gani
Hii sio roho ngumu, bali ni ugonjwa wa akili na udhaifu wa nafsi jumlisha uchache wa busara.

Ametumia kanuni ya kisasi ambayo ameikiuka pakubwa sana. Huwezi kosewa na mtu mmoja, kisha udhalilishe na kutesa familia yako na ya wengine ili tu kumlipia kisasi huyo mtu. Kimsingi huyu jamaa alichokifanya kitakuja mrudia. Unapolipa kisasi kinapaswa kuwa sawia, huwezi kosewa na mtoto, ukaadhibu hadi wazazi wake. Hapo unakua umetendea wasiohatia dhulma.

Huyu bwana ana traits zote za serial killers.
 
Mbona kwenye Bible wanasema dhambi zako Zita athiri hadi kizazi chako cha 4??.....

Madhara tunayoyapata Leo ni kutokana na dhambi ya Adam na Hawa, kwann MUNGU hakutoa adhabu Kwa Wale wawili tu??
 
2022-2024, kuna vitu kimetokea very interesting. Kumbe yule jamaa aliyetembea naye aliyekuwa anataka na side B alikuwa HIV+. Na km mnakumbuka tang nigundue kwamba simuelew elewi sikuwahi kulala naye tena, so nipo salama kbs sina VVU..

Ilikuwaje nimejua? Nani alinambia? Kuna mambo yalitokea hapa katikati pia.. kuna msala mzito sana ulitokea wa Polisi kupewa pesa na baba ake binti waje wanifanyie kitu mbaya, labda mzee alijua mi ni mwepesi, ***** moto uliowaka plan ikabackfire hadi polis wakajuta kujiingiza kweny mambo ya kifala, ikapelekea msala kumrudia yule mzee hadi akataka kujinyonga, hii nayo ilikuwaje??

Kuna demu wa JF alikuja PM alijua mim ni Pimbi, ni jimama lina pesa pesa hv kdg, huyu naye ana mkasa wake.. aliyakanyaga huyu, hii naye ilikuwaje?

Wengine pia wanatak kujua yule binti wa Kimburu kiunaga ubaga jinsi nilivyomalizana naye Hadi nikampiga chini, hapa napo pana balaa lake zito pia.

Mambo yapo mengi, nipo chaka sana kwasasa nafanya project moja hivi tough sana.. but Nitarudi niwape mikasa yote hii.

Andaa popcorn zako.

NB: kuna ambao wanadhan huu mkasa ni uongo, siku moja mbele ya safari nitafanya interview na nitawajuza, ila sio hv karibuni.
usisahau kututag
 
Daahh. Usingizi wote umeniisha kwa hii post. You will kill the guy,

Huo ni ushenzi hata mamako mzazi atakulaani kwa huo upuuzi, Ndugu zao pia watakulaani kwa huo ujinga. Humtaki mtobolee ushenzi wake zen sepa.
Aaahhh!! hata ivyo hutaki shauriwa ....kafie mbele
Kwani alisema hamtaki, yeye ametendwa hivyo lazima na yeye atende. Misamaha mingine siyo ya kutolewa na binaadam bali Mungu tu.
Kuna vitu ukijifanya unasemehe unakuwa unakosoa uumbaji wa Mungu na unaingilia majukumu yake.
 
Hii sio roho ngumu, bali ni ugonjwa wa akili na udhaifu wa nafsi jumlisha uchache wa busara.

Ametumia kanuni ya kisasi ambayo ameikiuka pakubwa sana. Huwezi kosewa na mtu mmoja, kisha udhalilishe na kutesa familia yako na ya wengine ili tu kumlipia kisasi huyo mtu. Kimsingi huyu jamaa alichokifanya kitakuja mrudia. Unapolipa kisasi kinapaswa kuwa sawia, huwezi kosewa na mtoto, ukaadhibu hadi wazazi wake. Hapo unakua umetendea wasiohatia dhulma.

Huyu bwana ana traits zote za serial killers.
Huyu jamaa amefanya kila kitu kwa ubora wa hali ya juu sana. Tatizo la kufichaficha linapelekea watu wasione tatizo kumbe jamii inazidi kuoza.
Kwani hayo aliyoyafanya huyo bint aliyafanya mwenyewe, si amefanya na mwingine? Na huyo mwingine si anamuona jamaa kuwa ni fala? Ingetokea amemuoa jamaa na ukoo wake si wangeonekana wote mafala kwa kupoteza muda, nguvu na pesa kuoa bint wa aina ile? Au mnaangalia upande mmoja tu!?
 
Back
Top Bottom