Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hapana mkuu nilikuwa nakutania tu 😁Serious mkuu. Ndo hivyo.
Nahisi unanijaji based on my posts kwa jukwaa la utani a.k.a vituko..
Kule na-post utani tu, Ila sipo vile kabisaaa😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu nilikuwa nakutania tu 😁Serious mkuu. Ndo hivyo.
Nahisi unanijaji based on my posts kwa jukwaa la utani a.k.a vituko..
Kule na-post utani tu, Ila sipo vile kabisaaa😁
Duuu aiseeeeWanaongea ongea kwamb mim sijafanya sawa ni mabinti, hawajui maumivu, hasira na uchungu wa demu wako unayempenda na kumpa thaman ya juu kugongwa alafu ukajua, watu huwa wanaua mbona mim kwa nilichokifanya hiki kdg sana, nafaa kupewa Ushemasi kbs
Aiseee!!2022-2024, kuna vitu kimetokea very interesting. Kumbe yule jamaa aliyetembea naye aliyekuwa anataka na side B alikuwa HIV+. Na km mnakumbuka tang nigundue kwamba simuelew elewi sikuwahi kulala naye tena, so nipo salama kbs sina VVU..
Ilikuwaje nimejua? Nani alinambia? Kuna mambo yalitokea hapa katikati pia.. kuna msala mzito sana ulitokea wa Polisi kupewa pesa na baba ake binti waje wanifanyie kitu mbaya, labda mzee alijua mi ni mwepesi, ***** moto uliowaka plan ikabackfire hadi polis wakajuta kujiingiza kweny mambo ya kifala, ikapelekea msala kumrudia yule mzee hadi akataka kujinyonga, hii nayo ilikuwaje??
Kuna demu wa JF alikuja PM alijua mim ni Pimbi, ni jimama lina pesa pesa hv kdg, huyu naye ana mkasa wake.. aliyakanyaga huyu, hii naye ilikuwaje?
Wengine pia wanatak kujua yule binti wa Kimburu kiunaga ubaga jinsi nilivyomalizana naye Hadi nikampiga chini, hapa napo pana balaa lake zito pia.
Mambo yapo mengi, nipo chaka sana kwasasa nafanya project moja hivi tough sana.. but Nitarudi niwape mikasa yote hii.
Andaa popcorn zako.
NB: kuna ambao wanadhan huu mkasa ni uongo, siku moja mbele ya safari nitafanya interview na nitawajuza, ila sio hv karibuni.
Katibu was banyeta, mwamba ni kipande🤣😀Daah uyu jamaa ana roho ngumu mno.
Kisasi gani hicho kisichoisha ulipomuaibisha kwao ilikua imetosha kabisa.
Sa tatizo pia lipo kwa huyo manzi hajui kuacha mtu aende upendo gani huo, au wewe ndo ulimbikiri, yani unamwambia humtaki bado anakuganda namna iyo.
Kaka unaniandama sana aisee 😂😂Katibu was banyeta, mwamba ni kipande🤣😀
Mpaka uchukue cheo chako🤣😀, Katibuuuu Kama KatibuKaka unaniandama sana aisee 😂😂
Hii sio roho ngumu, bali ni ugonjwa wa akili na udhaifu wa nafsi jumlisha uchache wa busara.Ila una roho ngumu jamaa yangu,sijui we utakuwa ni kabila gani
Cheo sichukui kaka nimepata demMpaka uchukue cheo chako🤣😀, Katibuuuu Kama Katibu
Oya tutakaa wote hapo tusubiri stori.
Mbona kwenye Bible wanasema dhambi zako Zita athiri hadi kizazi chako cha 4??.....Hii sio roho ngumu, bali ni ugonjwa wa akili na udhaifu wa nafsi jumlisha uchache wa busara.
Ametumia kanuni ya kisasi ambayo ameikiuka pakubwa sana. Huwezi kosewa na mtu mmoja, kisha udhalilishe na kutesa familia yako na ya wengine ili tu kumlipia kisasi huyo mtu. Kimsingi huyu jamaa alichokifanya kitakuja mrudia. Unapolipa kisasi kinapaswa kuwa sawia, huwezi kosewa na mtoto, ukaadhibu hadi wazazi wake. Hapo unakua umetendea wasiohatia dhulma.
Huyu bwana ana traits zote za serial killers.
usisahau kututag2022-2024, kuna vitu kimetokea very interesting. Kumbe yule jamaa aliyetembea naye aliyekuwa anataka na side B alikuwa HIV+. Na km mnakumbuka tang nigundue kwamba simuelew elewi sikuwahi kulala naye tena, so nipo salama kbs sina VVU..
Ilikuwaje nimejua? Nani alinambia? Kuna mambo yalitokea hapa katikati pia.. kuna msala mzito sana ulitokea wa Polisi kupewa pesa na baba ake binti waje wanifanyie kitu mbaya, labda mzee alijua mi ni mwepesi, ***** moto uliowaka plan ikabackfire hadi polis wakajuta kujiingiza kweny mambo ya kifala, ikapelekea msala kumrudia yule mzee hadi akataka kujinyonga, hii nayo ilikuwaje??
Kuna demu wa JF alikuja PM alijua mim ni Pimbi, ni jimama lina pesa pesa hv kdg, huyu naye ana mkasa wake.. aliyakanyaga huyu, hii naye ilikuwaje?
Wengine pia wanatak kujua yule binti wa Kimburu kiunaga ubaga jinsi nilivyomalizana naye Hadi nikampiga chini, hapa napo pana balaa lake zito pia.
Mambo yapo mengi, nipo chaka sana kwasasa nafanya project moja hivi tough sana.. but Nitarudi niwape mikasa yote hii.
Andaa popcorn zako.
NB: kuna ambao wanadhan huu mkasa ni uongo, siku moja mbele ya safari nitafanya interview na nitawajuza, ila sio hv karibuni.
Kwani alisema hamtaki, yeye ametendwa hivyo lazima na yeye atende. Misamaha mingine siyo ya kutolewa na binaadam bali Mungu tu.Daahh. Usingizi wote umeniisha kwa hii post. You will kill the guy,
Huo ni ushenzi hata mamako mzazi atakulaani kwa huo upuuzi, Ndugu zao pia watakulaani kwa huo ujinga. Humtaki mtobolee ushenzi wake zen sepa.
Aaahhh!! hata ivyo hutaki shauriwa ....kafie mbele
Huyu jamaa amefanya kila kitu kwa ubora wa hali ya juu sana. Tatizo la kufichaficha linapelekea watu wasione tatizo kumbe jamii inazidi kuoza.Hii sio roho ngumu, bali ni ugonjwa wa akili na udhaifu wa nafsi jumlisha uchache wa busara.
Ametumia kanuni ya kisasi ambayo ameikiuka pakubwa sana. Huwezi kosewa na mtu mmoja, kisha udhalilishe na kutesa familia yako na ya wengine ili tu kumlipia kisasi huyo mtu. Kimsingi huyu jamaa alichokifanya kitakuja mrudia. Unapolipa kisasi kinapaswa kuwa sawia, huwezi kosewa na mtoto, ukaadhibu hadi wazazi wake. Hapo unakua umetendea wasiohatia dhulma.
Huyu bwana ana traits zote za serial killers.
Halafu kuna wapuuzi wanadai hakufanya poa, jamaa amefanya tukio kwa viwango sahihi kabisaSafi sana,naona unazidi kutupeperushia bendera vuzuri sisi wanaume halisi wachache tuliobaki.