Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,963
- 5,757
Wewe unaweza kuua mtu kama unapiga kofi mbu
Wewe, mimi hapa tu roho inaniuma kama nawajua, ndio maana sifukuagi nyuzi nyingi, kuna uzi niliusomaga siku tatu aisee! Nilikaa pembeni kwanza, mimi nilishakutana na narcist so hizi mambo huwa zinaniaffect hata kama hazitokei kwangu!Nina uwezo mdogo sana wa kuvumilia violence, hivyo hata ukaribu na mtu mwenye roho kama ya paka ni wa kuepuka..!
Mimi naombea tu kitu chochote kibaya kisiwe kimetokea! Waachane tu salama kila mtu akubali ameshindwa basi! Hiyo ya kuoneshana umwamba sijui ego haitawasaidia kitu! Kama huyu mzee alipanic huwenda alivua ulokole hata akampiga kipapai kwanza!😅Mungu anipe uhai nishuhudie mrejesho wa KOROE
Maana kila mwaka namwita atuletee mrejesho😹😹😹
Woii msinambie mimi ndio najipaga presha kumbe kila mtu alishapata joto lake kwa wakati wake😂Jf we utaiweza?
Reaction za hate ni kawaida
Tumepita mengi magumu kuliko hata hizo reaction za hate
Ni kawaida.
Nakuelewa sana aiseeeeh’, na ubaya ni kuwa healing from narcissistic abuse huwa inachukua muda sana, trauma yake si ya kitoto Pole sana sana mama..! Ilikuchukua muda gani kurudi kuwa normal..!?Wewe, mimi hapa tu roho inaniuma kama nawajua, ndio maana sifukuagi nyuzi nyingi, kuna uzi niliusomaga siku tatu aisee! Nilikaa pembeni kwanza, mimi nilishakutana na narcist so hizi mambo huwa zinaniaffect hata kama hazitokei kwangu!
Kama miaka mi 3, ila huwa ninaona kama nimeheal lakini sina uhakika coz kuna mambo nikikutana nayo najisikia vibaya, ila haitokei mara kwa mara kwa sababu nimejitenga na mambo mengi sana! Nilikuwa siko comfortable kuongea na wanaume nakuwa mkali haswaa kama pilipili na nilikuwa siwapendi! Kila mmoja namuona tapeli!Nakuelewa sana aiseeeeh’, na ubaya ni kuwa healing from narcissistic abuse huwa inachukua muda sana, trauma yake si ya kitoto Pole sana sana mama..! Ilikuchukua muda gani kurudi kuwa normal..!?
Kuna siku nilikuona unalia Lia kwenye UziMimi naombea tu kitu chochote kibaya kisiwe kimetokea! Waachane tu salama kila mtu akubali ameshindwa basi! Hiyo ya kuoneshana umwamba sijui ego haitawasaidia kitu! Kama huyu mzee alipanic huwenda alivua ulokole hata akampiga kipapai kwanza!😅
Woii msinambie mimi ndio najipaga presha kumbe kila mtu alishapata joto lake kwa wakati wake😂
Kuna siku moja id nisiyoijua ililog in kama siku tatu inahate reply zangu zotee! Hafu ikapotea! Uweeh😂
Kwenye harakati za kiume msaliti analipa kadri ya makosa yake. Kama jeshini au vitani msaliti ni kula kichwa.Kuna huyo mmoja kanifanyia mambo ya hovyo sana mwaka jana, kachezea huko anajirudi kwa pigo za kutoweza ishi bila mimi. Kuna muda huruma inaingia sababu ya familia zetu zina ukaribu la sivyo ningemfanya kitu asinisahau mpaka anaenda kaburini
Amen🙏🙏🙏Pole sana sana jamani, kwenye haya maisha behind the screen every single soul is struggling with something..!🙌🏾
Wishing you a very quick recovery mdogo wangu mzuri, Mungu akaendelee kukuonekania kwa ukubwa wake..!
ana usimuliaji mzuri sana ni kweli, ila roho sasa..!? hapo ukute hata sura ni ya upole..! Mungu atuepushe na watu wa hivyo kwa hakika..!
Karibu JF, a home of psychopaths..!Mimi naombea tu kitu chochote kibaya kisiwe kimetokea! Waachane tu salama kila mtu akubali ameshindwa basi! Hiyo ya kuoneshana umwamba sijui ego haitawasaidia kitu! Kama huyu mzee alipanic huwenda alivua ulokole hata akampiga kippi kwanza!
Woii msinambie mimi ndio najipaga presha kumbe kila mtu alishapata joto lake kwa wakati wake😂
Kuna siku moja id nisiyoijua ililog in kama siku tatu inahate reply zangu zotee! Hafu ikapotea! Uweeh😂
Jamanii, hebu nipewe past papers aisee😂Kuna siku nilikuona unalia Lia kwenye Uzi
Umejiliza wee. Ukafoka
Yaani nikasoma nikacheka tu.,nikajisemea huyu kusemwa kidogo tu anapanic hivi,angepitia battlez za waziwazi humu si angeacha kabisa id yake
Karibu Jf
Bila kuwa na roho ngumu humu unaweza kupata stress bure😂😂😂.
Hahahah uwii amuache bwana! Dahh, sema atapewa uambajamba mpaka akome mzee wa watu dah! Kajipanga kama vile ana mbinu zote za kivita huyu! Ex wake habari anayo!😅........
Mimi pia naomba wote wawe wazima maana Koroe hashindwi kumuua hiyo Mzee kwa stress
Ni dhahiri huyo Mzee hawezi kumzidi kete jamaa
Amejipanga haswaa😂😂😂😂
Na yeye usaliti umemsaidia nini?Walk away, simple and clear! Visasi ndio vimemsaidia nini?
Hivi unaanzaje kucheka?🫢 mimi nilivyokuwa nimenywea ungeniona! Nimesikitika acha tu! Huwa nna kauvivu kusoma lakini yeye nimesoma chapchap uwii!Amen🙏🙏🙏
Mungu amesikia
Nafurahia kukuona tena Jf Kwa mara nyingine.
.....
Huyu KOROE yaani mimi nilitamani sana angeweka japo picha nione anafananiaje e maana siyo Kwa roho ngumu hiyo aliyonayo😂😂😂😂😂😂😂
Nikatamani hata nimuombe picha PM nione anavyofanania tu maana hii stori yake kwa kweli mimi ilikuwa inanichekesha,yani kila nikisoma nacheka karibu kuzimia kwa huu uandishi wake.
Ila niliogopa aisee
Mtu ana roho ngumu hivyo,hata pm huwezi kuongea naye aisee.
Asante tu sis 😢Karibu JF, a home of psychopaths..!
I am so speechless, kuna vitu sasa naanza kuelewa, nimekumbuka na that thread of yours nagundua that was just a cry for help maskini..!Kama miaka mi 3, ila huwa ninaona kama nimeheal lakini sina uhakika coz kuna mambo nikikutana nayo najisikia vibaya, ila haitokei mara kwa mara kwa sababu nimejitenga na mambo mengi sana! Nilikuwa siko comfortable kuongea na wanaume nakuwa mkali haswaa kama pilipili na nilikuwa siwapendi! Kila mmoja namuona tapeli!
Nilikuwa siwezi kusoma vitu mtandaoni hata kuanza kujichanganya humu sijui niliwezaje aisee! Nilikuwa na baadhi ya posts mitandao ya kijamii nikafuta zote! Nahisi respond ya mwanzo ndio imenivuta mpaka leo niko active kuliko hata kuongea na cm au kujibu texts whatsapp!
Kumbe unazungumzia slay queen? Basi sawa kila la kheri kwenye visasi vyako mkuu!Na yeye usaliti umemsaidia nini?
Yani unitendee kosa na unichagulie adhabu ya kukupa? That is for the weak. Na ndio hao mnawapenda.
Jamaa angejiua mngesema pia dhaifu. Kafanya opposite mnasema katili.
NA Chizi Maarifa alikunya chumba kizima mkasema sio mstaarabu.
Yani slay queen wanataka usaliti halafu wajichagulie na adhabu.
Thanks so much sis! Am sure itafika mahala litaisha kabisa!I am so speechless, kuna vitu sasa naanza kuelewa, nimekumbuka na that thread of yours nagundua that was just a cry for help maskini..!
Mungu akuvushe salama kiukweli..!🙏
Kwanza mwamba anaanza Kwa kusema kuwa hii ni taarifa anatupa na siyo ushauri,tusimshauri chochote.Hivi unaanzaje kucheka?🫢 mimi nilivyokuwa nimenywea ungeniona! Nimesikitika acha tu! Huwa nna kauvivu kusoma lakini yeye nimesoma chapchap uwii!
Inawezekana hata yeye mwenyewe hakujifahamu ni katili kiasi hicho mpaka pale alipojeruhiwa, na ukute ungemkuta kabla ya kupigwa tukio na huyo dada angekuwa ni rafiki yako mwema kabisa,Amen🙏🙏🙏
Mungu amesikia
Nafurahia kukuona tena Jf Kwa mara nyingine.
.....
Huyu KOROE yaani mimi nilitamani sana angeweka japo picha nione anafananiaje e maana siyo Kwa roho ngumu hiyo aliyonayo😂😂😂😂😂😂😂
Nikatamani hata nimuombe picha PM nione anavyofanania tu maana hii stori yake kwa kweli mimi ilikuwa inanichekesha,yani kila nikisoma nacheka karibu kuzimia kwa huu uandishi wake.
Ila niliogopa aisee
Mtu ana roho ngumu hivyo,hata pm huwezi kuongea naye aisee.
you have my prayers mama..!🙏Thanks so much sis! Am sure itafika mahala litaisha kabisa!
Karibu sanaJamanii, hebu nipewe past papers aisee😂
Mimi sikuwa najua kwakweli nilijua ni kila
mtu anajiandikia halafu anapita anaenda zake hakuna attachments wala kufuatailituana mbee!!🫢