Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Nina uwezo mdogo sana wa kuvumilia violence, hivyo hata ukaribu na mtu mwenye roho kama ya paka ni wa kuepuka..!
Wewe, mimi hapa tu roho inaniuma kama nawajua, ndio maana sifukuagi nyuzi nyingi, kuna uzi niliusomaga siku tatu aisee! Nilikaa pembeni kwanza, mimi nilishakutana na narcist so hizi mambo huwa zinaniaffect hata kama hazitokei kwangu!
 
Mungu anipe uhai nishuhudie mrejesho wa KOROE
Maana kila mwaka namwita atuletee mrejesho😹😹😹
Mimi naombea tu kitu chochote kibaya kisiwe kimetokea! Waachane tu salama kila mtu akubali ameshindwa basi! Hiyo ya kuoneshana umwamba sijui ego haitawasaidia kitu! Kama huyu mzee alipanic huwenda alivua ulokole hata akampiga kipapai kwanza!πŸ˜…
Jf we utaiweza?
Reaction za hate ni kawaida
Tumepita mengi magumu kuliko hata hizo reaction za hate
Ni kawaida.
Woii msinambie mimi ndio najipaga presha kumbe kila mtu alishapata joto lake kwa wakati wakeπŸ˜‚

Kuna siku moja id nisiyoijua ililog in kama siku tatu inahate reply zangu zotee! Hafu ikapotea! UweehπŸ˜‚
 
Wewe, mimi hapa tu roho inaniuma kama nawajua, ndio maana sifukuagi nyuzi nyingi, kuna uzi niliusomaga siku tatu aisee! Nilikaa pembeni kwanza, mimi nilishakutana na narcist so hizi mambo huwa zinaniaffect hata kama hazitokei kwangu!
Nakuelewa sana aiseeeeh’, na ubaya ni kuwa healing from narcissistic abuse huwa inachukua muda sana, trauma yake si ya kitoto Pole sana sana mama..! Ilikuchukua muda gani kurudi kuwa normal..!?
 
Nakuelewa sana aiseeeeh’, na ubaya ni kuwa healing from narcissistic abuse huwa inachukua muda sana, trauma yake si ya kitoto Pole sana sana mama..! Ilikuchukua muda gani kurudi kuwa normal..!?
Kama miaka mi 3, ila huwa ninaona kama nimeheal lakini sina uhakika coz kuna mambo nikikutana nayo najisikia vibaya, ila haitokei mara kwa mara kwa sababu nimejitenga na mambo mengi sana! Nilikuwa siko comfortable kuongea na wanaume nakuwa mkali haswaa kama pilipili na nilikuwa siwapendi! Kila mmoja namuona tapeli!

Nilikuwa siwezi kusoma vitu mtandaoni hata kuanza kujichanganya humu sijui niliwezaje aisee! Nilikuwa na baadhi ya posts mitandao ya kijamii nikafuta zote! Nahisi respond ya mwanzo ndio imenivuta mpaka leo niko active kuliko hata kuongea na cm au kujibu texts whatsapp!
 
Kuna siku nilikuona unalia Lia kwenye Uzi
Umejiliza wee. Ukafoka
Yaani nikasoma nikacheka tu.,nikajisemea huyu kusemwa kidogo tu anapanic hivi,angepitia battlez za waziwazi humu si angeacha kabisa id yake
Karibu Jf
Bila kuwa na roho ngumu humu unaweza kupata stress bureπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
........

Mimi pia naomba wote wawe wazima maana Koroe hashindwi kumuua hiyo Mzee kwa stress
Ni dhahiri huyo Mzee hawezi kumzidi kete jamaa
Amejipanga haswaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna huyo mmoja kanifanyia mambo ya hovyo sana mwaka jana, kachezea huko anajirudi kwa pigo za kutoweza ishi bila mimi. Kuna muda huruma inaingia sababu ya familia zetu zina ukaribu la sivyo ningemfanya kitu asinisahau mpaka anaenda kaburini
Kwenye harakati za kiume msaliti analipa kadri ya makosa yake. Kama jeshini au vitani msaliti ni kula kichwa.

Wewe kama huna ndoa naye mlipe kadri ya uwezo. Usisamehe. Ukisamehe anakuja kukulipa wewe kwa ujinga wako.
 
AmenπŸ™πŸ™πŸ™
Mungu amesikia
Nafurahia kukuona tena Jf Kwa mara nyingine.
.....
Huyu KOROE yaani mimi nilitamani sana angeweka japo picha nione anafananiaje e maana siyo Kwa roho ngumu hiyo aliyonayoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nikatamani hata nimuombe picha PM nione anavyofanania tu maana hii stori yake kwa kweli mimi ilikuwa inanichekesha,yani kila nikisoma nacheka karibu kuzimia kwa huu uandishi wake.
Ila niliogopa aisee
Mtu ana roho ngumu hivyo,hata pm huwezi kuongea naye aisee.
 
Karibu JF, a home of psychopaths..!
 
Jamanii, hebu nipewe past papers aiseeπŸ˜‚
Mimi sikuwa najua kwakweli nilijua ni kila
mtu anajiandikia halafu anapita anaenda zake hakuna attachments wala kufuatailituana mbee!!🫒
........

Mimi pia naomba wote wawe wazima maana Koroe hashindwi kumuua hiyo Mzee kwa stress
Ni dhahiri huyo Mzee hawezi kumzidi kete jamaa
Amejipanga haswaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahah uwii amuache bwana! Dahh, sema atapewa uambajamba mpaka akome mzee wa watu dah! Kajipanga kama vile ana mbinu zote za kivita huyu! Ex wake habari anayo!πŸ˜…
 
Walk away, simple and clear! Visasi ndio vimemsaidia nini?
Na yeye usaliti umemsaidia nini?
Yani unitendee kosa na unichagulie adhabu ya kukupa? That is for the weak. Na ndio hao mnawapenda.

Jamaa angejiua mngesema pia dhaifu. Kafanya opposite mnasema katili.

NA Chizi Maarifa alikunya chumba kizima mkasema sio mstaarabu.

Yani slay queen wanataka usaliti halafu wajichagulie na adhabu.
 
Hivi unaanzaje kucheka?🫒 mimi nilivyokuwa nimenywea ungeniona! Nimesikitika acha tu! Huwa nna kauvivu kusoma lakini yeye nimesoma chapchap uwii!
 
I am so speechless, kuna vitu sasa naanza kuelewa, nimekumbuka na that thread of yours nagundua that was just a cry for help maskini..!

Mungu akuvushe salama kiukweli..!πŸ™
 
Kumbe unazungumzia slay queen? Basi sawa kila la kheri kwenye visasi vyako mkuu!
 
Hivi unaanzaje kucheka?🫒 mimi nilivyokuwa nimenywea ungeniona! Nimesikitika acha tu! Huwa nna kauvivu kusoma lakini yeye nimesoma chapchap uwii!
Kwanza mwamba anaanza Kwa kusema kuwa hii ni taarifa anatupa na siyo ushauri,tusimshauri chochote.
Anasema hapendagi ubwege kabisa

Aanh mimi nilikuwa nacheka sana
Anavyosema Binti alimletea ushenzi wa kishenzi naye akamlipa ushenziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inawezekana hata yeye mwenyewe hakujifahamu ni katili kiasi hicho mpaka pale alipojeruhiwa, na ukute ungemkuta kabla ya kupigwa tukio na huyo dada angekuwa ni rafiki yako mwema kabisa,
maumivu wakati mwingine yana namna ya kubadili watu, huwa wanasema β€˜killers are not born, they are made’..!

Namshukuru Mungu pia ndiyo napata nguvu ya kurudi rudi JF (nilijichimbia kwenye thread ya Series maana ndiyo ilikuwa inanisaidia ku survive) nimetoka kwenye msiba mmoja mgumu sana, na sijui hata kama nitawahi heal..!πŸ™ŒπŸΎ
 
Jamanii, hebu nipewe past papers aiseeπŸ˜‚
Mimi sikuwa najua kwakweli nilijua ni kila
mtu anajiandikia halafu anapita anaenda zake hakuna attachments wala kufuatailituana mbee!!🫒
Karibu sana
Humu Kuna watu wa kila aina
Kikubwa ni kuenda na watu wazuri wabaya unawapuuzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…