Kwakweli dada una ujasiri mimi sijacheka kabisa! Yani sijafurahishwa! Dahh sema anajua kujisimamia kama mwanaume sijaona sehemu ambayo kahusisha sana watu wa kufanya nao njama au kikundi cha wanaume, ila ukatili anao! Na lazima atakuw akanda maalumu huyu!Kwanza mwamba anaanza Kwa kusema kuwa hii ni taarifa anatupa na siyo ushauri,tusimshauri chochote.
Anasema hapendagi ubwege kabisa
Aanh mimi nilikuwa nacheka sana
Anavyosema Binti alimletea ushenzi wa kishenzi naye akamlipa ushenzi😂😂😂😂😂😂
Mimi nipo na KOROE hadi Baba mkwe ajinyonge 😹😹😹Hahahah uwii amuache bwana! Dahh, sema atapewa uambajamba mpaka akome mzee wa watu dah! Kajipanga kama vile ana mbinu zote za kivita huyu! Ex wake habari anayo!😅
Kabisa! Nimejifunza.. namshukuru Mungu nawagundua polepole!Karibu sana
Humu Kuna watu wa kila aina
Kikubwa ni kuenda na watu wazuri wabaya unawapuuzia.
Usinambie hujawahinkuusoma hui uzi na wewe😂Naomba nitag nami nisome 🥹
jamani asijinyonge bwana🥹Mimi nipo na KOROE hadi Baba mkwe ajinyonge 😹😹😹
Akirudi tumuulize kabilaKwakweli dada una ujasiri mimi sijacheka kabisa! Yani sijafurahishwa! Dahh sema anajua kujisimamia kama mwanaume sijaona sehemu ambayo kahusisha sana watu wa kufanya nao njama au kikundi cha wanaume, ila ukatili anao! Na lazima atakuw akanda maalumu huyu!
Nilisoma muda kipindi mleta uzi anaelezea nikaachana nao naona umerud trending tena 😅Usinambie hujawahinkuusoma hui uzi na wewe😂
Utalia bwana nakuhurumia😅
Watu wema sana wskiumizwa hugeuka kuwa wabaya sana.Inawezekana hata yeye mwenyewe hakujifahamu ni katili kiasi hicho mpaka pale alipojeruhiwa, na ukute ungemkuta kabla ya kupigwa tukio na huyo dada angekuwa ni rafiki yako mwema kabisa,
maumivu wakati mwingine yana namna ya kubadili watu, huwa wanasema ‘killers are not born, they are made’..!
Namshukuru Mungu pia ndiyo napata nguvu ya kurudi rudi JF (nilijichimbia kwenye thread ya Series maana ndiyo ilikuwa inanisaidia ku survive) nimetoka kwenye msiba mmoja mgumu sana, na sijui hata kama nitawahi heal..!🙌🏾
Aje kabisa kutoa details mapema tujiepushe na aina yake wengine tunapenda kuudhi wanaume vimidomo hivi nisije kukatwa hata pua nikarudi kwetu toinyo😂Akirudi tumuulize kabila
Bila shaka Mkurya huyu
Vita ni vita muraaa😂😂😂😂
Mi alinichekesha Yaani,
Nilikuwa nacheka japo nahuzunika.
Mimi nimetagiwa niusome sikuwa naujua, kwahiyo ndio palepale nahisi mlipoishia!Nilisoma muda kipindi mleta uzi anaelezea nikaachana nao naona umerud trending tena 😅
Huruma siyo malezi fanya hivyo plz 🥹🤣
KOROE ni jeshi la mtu mmojaKwakweli dada una ujasiri mimi sijacheka kabisa! Yani sijafurahishwa! Dahh sema anajua kujisimamia kama mwanaume sijaona sehemu ambayo kahusisha sana watu wa kufanya nao njama au kikundi cha wanaume, ila ukatili anao! Na lazima atakuw akanda maalumu huyu!
Hmm all in all, kaniacha mdomo wazi!🙌🏾KOROE ni jeshi la mtu mmoja
Anajiamulia mambo huyo😃
Anasema anamuhudumia kila kituHmm all in all, kaniacha mdomo wazi!🙌🏾
Toka mwaka juzijamani asijinyonge bwana🥹
ASante.Kumbe unazungumzia slay queen? Basi sawa kila la kheri kwenye visasi vyako mkuu!
unajua kwenye haya maisha Mungu anakukutanisha na mtu ambaye anakuwa zaidi ya rafiki na ndugu..!? lako linakuwa lake..!? anakuwa na ule upendo genuine kabisa, hapo ushakata tamaa kuhusu ukaribu wa marafiki maana wengi unawaona siyo wakweli.!?Watu wema sana wskiumizwa hugeuka kuwa wabaya sana.
......
Pole sana Dada,
Umefiwa na nani tena Jamani 💔 🥹
Kweli umepotea muda mrefu.
Dahh! This is so heartbreaking 💔 pole sana sis, jipe muda utaheal tu pole sana hugs babe 🫂 ❤️🩹unajua kwenye haya maisha Mungu anakukutanisha na mtu ambaye anakuwa zaidi ya rafiki na ndugu..!? lako linakuwa lake..!? anakuwa na ule upendo genuine kabisa, hapo ushakata tamaa kuhusu ukaribu wa marafiki maana wengi unawaona siyo wakweli.!?
kwenye mkoa niliopo ndiyo mtu pekee nilikuwa naye karibu, tulikuwa tunafanya kazi sehemu moja na ndipo tulipokutania, yule dada alijua kunipenda jamani..!🙌🏾 ni mtu pekee nimezunguka naye sana, vacations zangu nyingi ni nilizokuwa naye, nikiwa na jambo langu la huzuni ama furaha atalia kuliko hata mimi, yule mtu anakutanguliza kwanza wewe mbele ndiyo ajifuatie yeye..!
tulikuwa tunaongea kila siku na kila mara, Ninachoshukuru Mungu tulikuwa hatuagani bila kuambiana ‘Nakupenda’, kwa hilo sijilaumu kiukweli,
siku hiyo tumeongea vizuri tu, tulipanga kesho yake tuonane kuna mahali tulipaswa kwenda pamoja, nampigia simu hapokei na akawa hanirudii na siyo kawaida, nikasema ngoja nikamsimange watsap, nafika nakuta msg ya muda hata hajajibu nikasema labda kwao leo umeme hakuna, nikamuacha jioni tena simu haipokelewi, nikajiambia tu nitamchamba kesho balaa..!
nimekaa kwenye samoja, moyo unaniuma balaa mpaka nikalia, nikampigia boyfriend wangu simu namuambia moyo unauma mno akauliza kuna nini nikamuambia hata sijui, akanibembeleza pale, sikuwa sawa ila nikajikaza tu kuendelea na ratiba zangu, akaja nikakaa naye, tulikaa macho mpaka sanane usiku na siyo kawaida hata, tulikuwa tunaongea tu, na nikamsema rafiki yangu, kuwa kwenye marafiki ninaowamini ni yeye tu ila leo hajapokea simu toka mchana na siyo kawaida yake..!
ndiyo mara simu inaita namba mpya, anajitaja jina nikamkumbuka kuwa ni ndugu yake rafiki yangu, akaniuliza upo na nani.!? nikataja jina la bf maana alikuwa anamfahamu, akaniambia naomba simu niongee naye, ndiyo akampa taarifa my bf, wakamaliza kuongea, my bf akanipa simu ananiambia rudisha charge, nikawa nauliza kuna nini..!?
akaanzia mbaaaali lakini haikusaidia, I won’t forget that day..! nilikufuru hadi Mungu nikaja kutubu baadaye..! I’ve never recovered till today, mpaka sasa naweza amka usiku tu nikaanza kulia, ajali ikachukua rafiki yangu na mwanae, binti yake mkubwa wa kwanza, tukawazika kwa pamoja..!! aiseeeeh’ Mungu kajua kuniumiza..!
Yesu wangu 🥹unajua kwenye haya maisha Mungu anakukutanisha na mtu ambaye anakuwa zaidi ya rafiki na ndugu..!? lako linakuwa lake..!? anakuwa na ule upendo genuine kabisa, hapo ushakata tamaa kuhusu ukaribu wa marafiki maana wengi unawaona siyo wakweli.!?