Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Kweli Kuna watu jamani
 
Mwenyewe anajisifia kuwa mbona alichofanya ni kidogo sana
Anasema wengine wanajua.
Yeye hajaua, anafaa hata kupewa ushemssu😹
Na wengi tu naona wanatamla haya maneno jamani hivi tunaoshi na watu wneye roho gani? Hivi unatakiwa kuoitia mambo ya aina gani ili uwe na roho hankiktilinnamna hiyo?
 
Na wengi tu naona wanatamla haya maneno jamani hivi tunaoshi na watu wneye roho gani? Hivi unatakiwa kuoitia mambo ya aina gani ili uwe na roho hankiktilinnamna hiyo?
MUNGU amlinde KOROE popote alipo.
Arudi, Tunamsubiri.

Yaani atakuwa alipitia disappointment to the extent akashindwa kucontrol hasira yake.
 
Safi sana.Hii ndo dawa nzuri na tamu ya wasaliti.
 
Mimi nipo na KOROE hadi Baba mkwe ajinyonge 😹😹😹
Jf kuna watu wanachekesha sana na story zao za mahusiano hasa sisi wanaume 🤣

1) Kuna mmoja alikodi taxi kutoka korogwe hadi dar kwenda kumpiga mchepuko wa mkewe, ambae ni mchungaji na family friend.

2) Mwingine alitoka date na mwanachuo, sehemu ya first date akapelekwa na mdada kempiski Hyatt regency huku mfukoni ana elf 80, bill ikaja kubwa kumpigia simu rafiki yake amsaidie hela, rafiki akaja Hyatt kumuaibisha kuwa siku zote wanakunywa bia rose garden, huko kafata nini, hana hela ana hela ya kula yeye na mkewe, mtoa mada alisema alitamani kurusha ngumi 🤣

3) mwingine namwita mzee wa u turn alimkimbia mdada mlimani city, alivoona mdada anachukua vitu ghali vya kwenye mashelf, kabla ya hapo alishapunwa hela kibao za first dates kwenye mgahawa wa sea cliff 🤣

4) mwingine alikua na million 5 za boss, akaenda nazo baa kunywa bia huku begi kaliacha lodge jirani, akaona pisi Kali akaichukua akaenda lala nayo alivoamka asubuhi akasema ilikua upuuzi mtupu hela yote ilikua imeemda na maji, ilibidi aende chooni alivofika chooni anasema alijamba kwa pupa huku akikojoa bila kulenga tundu 🤣🤣🤣 Saint Anne Chica Gee Carleen Seran
 
Hizo zote sijasoma,😂😂😂dah
 
Nilivyosoma I'd imebidi nicheke 😄 kumbe zee la kuwadungunyua magopeni
 

Hawa wana ujinga mwingi. Wanapenda kujichagulia adhabu. Mi nlishawaambia sikuachi hivi hivi lazima uteme ulichokula na nikuachie kumbukumbu. Mtu unakuta akili hana anaringia Makebo yake tu Kraang kichwani hamna kitu. Unambeba anakunyea mkononi. Basi unamlisha choo chake
 
venchwa, hili hapa ***** Chizi Maarifa limekukimbia, liko huko kwenye mada zao za kichoko
 
😂😂😂😂 Doh! Sema humu kuna vioja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…