Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Ngoda,
Katu usichezee moyo wa mtu mwaminifu, never. Watu waaminifu mara nyingi wana revenge mbaya mno. That's going to happen to the lady. Ngoja apate dawa inayomstahili. Watu wanaopendwa na kujaliwa wanakuwa wajinga hawajui thamani ya mapenzi wanayopewa.
Mwenzenu revenge yangu n kukaa kimya nashangaa ndo hua inamuumiza my dear ex ,haishi kuniomba msamaha japo niliwah mwambia nishamsamehe na awe na Amani ...,ila naona hua haamin kama nilisamehe.
 
Kwa hiyo tar 22 jicho laenda tobolewa dah sipatii picha utakuwa kwenye hali gani ILA POLE MKUU NDO UANAUME HUO HARIBU TU ILI MUUNI AHAMIE KABISA
 
Daahh. Usingizi wote umeniisha kwa hii post. You will kill the guy,

Huo ni ushenzi hata mamako mzazi atakulaani kwa huo upuuzi, Ndugu zao pia watakulaani kwa huo ujinga. Humtaki mtobolee ushenzi wake zen sepa.
Aaahhh!! hata ivyo hutaki shauriwa ....kafie mbele
WE SUBSCRIBE USUBIRI PART 2 TUUU
 
Mm ni mwanamke, nimeumia sana pale unapompa MTU moyo wako akauchezea.

Wewe uko kama mm nikimpenda MTU nimemaliza, tamaa zote naweka chini, na kipindi hicho nakutana na visu vikali sana, ila najipa moyo kuwa huyu ni shetani hawezi kumzidi bf wangu, kiukweli na huwa no sitowagi

Wakuu hakuna mwaka niliopata vishawishi kama huu, tiyari nishapata Bf yupo mbali nampenda namuheshimu, yaan utafikiri yupo karibu nami,

Kazi ninayoifanya lazima nikutane na high class people, kwenye lift naenda ofisini ndo ysiseme, nakutana na wanaume balaa ila naajipa moyo kuwa L ni the right person.

Juzi nimeenda kutembelea Wateja( marketing) nilikutana na mkaka baadae ya kumuelezea tunachokifanya nikaondoka kabla sijafika mbali akaniita,

' Dada umeolewa, nikajibu,hapana ila Nina mchumba, akauliza tena " a u sure ni the right person kwako? Nikajibu ndio, akasema " mm Niko kwenye maandalizi ya kutafuta mchumba ambae unataka niwe nae kwenye mahusiano miezi 6 afu nioe kama mambo yataenda sawa, maana kila.kitu nimeshafanya, kama umenidanganya nakupa dk 10 jitafakari unipe no, nikamjibu hapana kaka Nina mchumba, kaondoa ndinga yake kaondoka.

Imagine haya yoteee na mengine ambayo sijasema najibana, kwa ajiri yake Leo MTU akifanyie ujinga??

Sijawahi kucheat nikiwa tiyari kwenye mahusiano mungu ndo shahidi.

Mleta mada revenge 100× MTU kuchezea moyo wako ni ujinga, yaani una full support yangu, kama ni kutafuta petrol mm nakupa kiberit,(kidding) tho usifanye hivi

Go go go gooo trh 7 mrejesho plz

Mmmmmh shosti mi naomba nikupe pole tena pole saaana...... bora hata angekuwa mume ila ni boyfriend mmmmh
Simaanishi umcheat bf wako hapana ......ila nahisi kama unampenda saaana !!!!!! Sasa ukigundua ndivyo sivyo si utatamani ardhi ipasuke ama ???
 
Jamaa una undugu na raisi wa N.Korea. Maana jasiri sana mkuu.
 
Najitahidigi kuota ndoto ya kuoa lkn kila siku nikiangalia upasua kichwa wa mahusiano ,naendelea kusema ubachelor ni mzr lamsingi ni kutafuta maendelea kwan hata ndugu zangu na watu baki ni tosha kikaaa Kwangu na kuweza kubadilishana mawazo kwani stress za mapenzi ni changamoto na mzigo mkubwa sna
 
Wewe ni kama mm kaka , kiufup sitotoa stori ila kuna demu naamin hatonisahau milele baada ya kunkumiza alichokipata hakuamin
 
Kwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo??

Ni hivi, mi huwa siumizwi alafu anayeniumiza akabaki salama, nikiumizwa mi nakuumiza mara 10 alafu fresh, maisha yenyewe mafupi haya, mi niwe na stress alafu wew ucheke ili kiwe nini... sipendagi ubwege kabisa, na nitabaki kwenye kumbukumbu zako milele ukijifanya kuniletea habari za ajabu..

Miez 8 iliyopita nilidate na dada mmoja hivi mrembo, height moja hivi mauzo sana na mzigo wa kuvuta huko nyuma haukuwa haba, kifupi mvuto wa yule dem hauna shaka, kama ni maksi basi A ya 95+... mapema nikamwambia mambo ya kiboya sitaki, km utacheat jitahidi nisijue, nikijua umeumia....Akajifanya hadi kulia pale kwamba ananilove nyang'anyang'a na kamwe hakuna mwanaume kama mimi, nikasema poa but take my words ukinizingua hutoamini nitakachokufany, na km hunitaki niache uende, na kama pia itakuw mechi za dharula tu alafu kimya tuambiane, moyo wangu hauchezewi.. akasema nisiwe na shaka ananipenda, nikasema poa.

Tabia yangu ni kwamba kamwe siwezi kuwa na mpenzi zaid ya mmoja kwa wakati mmoja, so nikiwa na mmoja huyo huyo. Sasa mwezi mmoja nyuma nikausoma mchezo dizain kama demu wangu analiwa hivi, sikumuuliza, nikakomaa hadi nikapata password zake facebook na insta.. nikazama inbox yake, daah ni balaa tupu, ashapigwa mashine na mshikaji mmoja hivi, then jamaa dizain kama anakomaa naye amle 0715 hiv sema demu anabana.. text yake hii hapa..

"Baby naridhika sana nawew, ila unanibania side B, nyimbo za side A zote nimeskiliza why uninyime za side B mpenz?, kama side A nilsikilza kwa elfu 70 bas side B lazma dau lipande.. nielewe bas"

Demu akajibu..

"Mi nina mtu na tuna malengo je akigundua na kuniacha itakuwaje"

Jamaa..

"Hawezi gundua, kwani huwa anakagua huko, ila navyokujua huwez nibania.. nitakutoa out ukafanye shopping ya maana, na nitakutumia 100,000 kesho"

Demu...

"Mmh poa tutaangalia tukikutana tar.22 jamaa akiondoka kama tulivyopanga".

Zipo nyingi nying but hizo kiufupi,....

Mimi kwa huyu demu..., nampa nachopata, najinyima sana apate yeye, nishamtoa shopping za maana mara kibao na tayari nishaandaa pesa nzuri tu kwa ajili yake, Krismass na mwaka mpya, maana tar.hizo sitakuwepo kutokana na majukum ya kazi yangu, nammudu kiujumla, nguo, usafiri, pesa ya kula, malazi nafanya mimi.. yeye hana chochote zaid ya gamba lake la diploma. Muda wote huo sina demu zaid yake.. na on bed naperfom fresh hadi anaomba poo yeye..

Nilichokifanya baada ya kugundua hilo, nimescreenshot charting zote hadi picha walizopiga wakiwa lodge wametumiana kupitia fb messenger nimejitumia kwenye simu yangu, then nimeuchuna.. kifupi tayari nimeshampiga chini ila siwez kumwambia tuachane kiboya boya hiv bila yeye kuonja joto la jiwe kidogo, na kamwe sitafanya naye mapenz tena.. ambacho kimebaki kwake ni kumpa kidonda cha milele..

Ifahamike ananipenda japo tamaa anazo, ashanitambulisha kwa rafiki zake wote, dada yake, hadi mama yake.. kifupi anaitwa mrs mimi... na uchafu anaoufanya ni siri kubwa sana na ndo maana anatumia fb messenger maana anajua siwez hisi chochote huko.. tayari tarehe ya kupeleka barua ishapangwa, tarehe 07 jan... mashangazi zake wote wanajiandaa kwa tukio hilo.. upande wetu pia tunajiandaa..

Nataka nifanye nini?? Siku hiyo ya tukio la kwenda kwao kujitambulisha rasmi ndo siku yangu ya kumuumiza, maana kwao anaaminika sana, anaimba kwaya kanisan, ana vyeo vingi ving vya huko kanisani.. na huwezi mzania hata kidogo kama ni mshenzi.. siku hiyo mbele ya Mchungaji wake, ndugu zake, mama ake, mashangazi na marafiki zake wakiwa na smartphone zao naenda umiza mtu vibaya sana, sio kwamba nitampiga hapana, ila nataka nimafanyie tukio ambalo litaweka maumivu ya kudumu kwenye moyo wake na kamwe hatokuja nisahau..

Tarehe 7 january, save the date....

USIPOTEZE MUDA KUNISHAURI CHOCHOTE, HUWA NIKIPANGA SIPANGUI..
Go..go...go...go..thats my boy
Yaan huo ndo udume haswaaaaa
 
wewe Jamaa noma Jamaa wewe nimangi nini ??
duuuhh au watokea Mara aiseeeee hilo sinema sio la sayari hii mamaeeeeee lazima wakutambue
ujinga ujinga hautaki
rejesha heshima yetu yakiume aiseeeeee
duuuuhh kama namuona hivi nahao ndugu zao dadeq
Kwani heshima ya wanaume imeshuka???
 
Right, very right! Mtu akuumize then umuache aende tu kiboya, hapana. Unamfanya kitu hadi aombe poo, humpigi kimwili, unampiga kiakili hadi akae sawa.

Niko na story almost kama yako, lakini haikufikia huko kwenye mahari, ila that woman won't forget what I did to her, hata akisahau ila kwa future relationship hatorudia kuchezea mwanaume kijinga.
Brother brother.... Kisasi???

Kwanini asimuache tuu kiroho safi?
 
Kwani heshima ya wanaume imeshuka???
imeshuka mnooo mkuu siwaona tunavyochanagnywa changanywa kama mafungu ya nyanya ya dyna'
yaani MTU anahudumiwa anapewa kila kitu lakini wapi sasa sidharau hizo
bora afanyiwe bonge sila action iliiwe fundisho kwa madada wote wenye Tania kama hizo
hata mwanaume anayechukua mke wamtu inapotokea akafumaniwa nakuliwa 0714 kisha akatangazwa mitandaoni .... Huwa inawapa hofu wanaume wengine wakware kuacha ama kupunguza hizo tabia
 
Una miaka mingapi?..kwanini mda mwingine huwa hatujiulizi huyu mtu labda niseme nae kwanza kuna kitu ana kosa unawahi revenge...ama uachane nae,hujui mapenzi kiti cha basi?.anyways unaenda kujianika umesalitiwa mhhh..?!
 
NDUGU YANGU MIMI NINA ROHO MBAYA LAKINI WEWW UNAENDA FANYA KITU CHA HATARI NA UNAWEZA PATA KESI YA KUUA MTU, KWA AIBU ATAKAYOPATA
 
Mmmmmh shosti mi naomba nikupe pole tena pole saaana...... bora hata angekuwa mume ila ni boyfriend mmmmh
Simaanishi umcheat bf wako hapana ......ila nahisi kama unampenda saaana !!!!!! Sasa ukigundua ndivyo sivyo si utatamani ardhi ipasuke ama ???
Na hicho ndicho kinacho niumwa, wacha wacha niendelee kuwa na imani mungu atasimama upande wangu.
 
Back
Top Bottom