Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Sijaridhika Bado kushadadia revenge ya mwanaume mwenzenu kwa kusema kwamba anarudisha heshima ya mwanaume
aiseee bhasi itakuwa unayko wewe
wewe nahuyo demu aliyeliwa kisha akapewa 70k mtakuwa wote ndio wale wale subirini tarehe 22 mkaliwe side B huko
hasira zenu unazoleta huku hazitoweza kulizuia tukio LA tarehe 7
halafu kumbuka kuwa hatutaki ushauri
hahaaa
 
aiseee bhasi itakuwa unayko wewe
wewe nahuyo demu aliyeliwa kisha akapewa 70k mtakuwa wote ndio wale wale subirini tarehe 22 mkaliwe side B huko
hasira zenu unazoleta huku hazitoweza kulizuia tukio LA tarehe 7
halafu kumbuka kuwa hatutaki ushauri
hahaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli tarehe 7 uanaume wako ndo utarudi saiv hauna huo uanaume
 
Nisikilize, sijamlazimisha kuwa namimi wala kuolewa namimi, na tangu mwanzo kabisa kabla hata sijafanya naye chochote nilishamtahadhalisha kama nilivyosema hapo awali, pia tatizo sio yeye kuwa na mwingine, tatizo ni yeye kuwa namimi alafu pia kuwa na mwingine, kama simfai kwanini asiniambie?? Iweje aendelee kupokea hela yangu?? simple tu angenambia kuwa ameshindwa ningemuacha tena kiroho safi tu.

Ila kwa alilolifanya, revenge must.......

Hujalazmishwa kutoa hela, umetoa mwenyewe!
 
Kaka hii mission italeta impact mbaya sana kwa bidada. Yaan it is a good move but angalia, kuna uwezekano bidada akajiua
Mkuu unafikiri mchizi atakua na hali gani kwa message hizi.? Huyo mwanamke hakufikiri yote haya kabla hajaanza kucheat.? Jamaa kamgharamia na harusi inaelekea tena haitoshi demu anaenda kutoa jicho (0715)

Hawa ng'ombe huwaga hawaridhikij hata uwape nini.. Wacha afumuliwe tu. Akijiua atajua mwenyewe as long as jamaa karidhika.

Ila kama ni mimi nisingekua na return point yan hiyo moja kwa moja nafumua kwa shangazi zake. *****
 
Sasa haya ndio maamuzi magumu mkuu, sio kuhama mtaa mchana. Nasubiri part two.. kusikia vilio na kupoteza fahamu.
 
Mkuu hapo kuna mawili, kwako kuna faida na hasara.
1. Huyo demu anaweza kujiua kwasababu umepanga kumdhalilisha vibaya mbele ya wazazi na ndg zake. Kama atachukua maamuzi kama hayo ambayo yanawezekana kabisa, hata wewe hautabaki salama kabisa na huenda ukajilaumu sana baadaye.
2. Huenda baada ya hapo akakufanyia revenge moja ya hatari. Yaani unaweza kumdhalilisha halafu baadaye akaingiwa na shetani akakufanyia kitu cha hatari.

NB. Kwa vile hutaki ushauri na huwa hushauriki , hujui huenda Mungu anampango wa kukuepusha na balaa. Kwa vile umeshaamua kuachana naye, wewe achana naye tu, hautapungukiwa na kitu wala hautakuwa wa kike.
 
Yah itapendezaa bwana kaka ushauli sikupiii Fanya unachoon uko sahihi ....maana we sindo uliekuwa una hudumia
 
Kwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo??

Ni hivi, mi huwa siumizwi alafu anayeniumiza akabaki salama, nikiumizwa mi nakuumiza mara 10 alafu fresh, maisha yenyewe mafupi haya, mi niwe na stress alafu wew ucheke ili kiwe nini... sipendagi ubwege kabisa, na nitabaki kwenye kumbukumbu zako milele ukijifanya kuniletea habari za ajabu..

Miez 8 iliyopita nilidate na dada mmoja hivi mrembo, height moja hivi mauzo sana na mzigo wa kuvuta huko nyuma haukuwa haba, kifupi mvuto wa yule dem hauna shaka, kama ni maksi basi A ya 95+... mapema nikamwambia mambo ya kiboya sitaki, km utacheat jitahidi nisijue, nikijua umeumia....Akajifanya hadi kulia pale kwamba ananilove nyang'anyang'a na kamwe hakuna mwanaume kama mimi, nikasema poa but take my words ukinizingua hutoamini nitakachokufany, na km hunitaki niache uende, na kama pia itakuw mechi za dharula tu alafu kimya tuambiane, moyo wangu hauchezewi.. akasema nisiwe na shaka ananipenda, nikasema poa.

Tabia yangu ni kwamba kamwe siwezi kuwa na mpenzi zaid ya mmoja kwa wakati mmoja, so nikiwa na mmoja huyo huyo. Sasa mwezi mmoja nyuma nikausoma mchezo dizain kama demu wangu analiwa hivi, sikumuuliza, nikakomaa hadi nikapata password zake facebook na insta.. nikazama inbox yake, daah ni balaa tupu, ashapigwa mashine na mshikaji mmoja hivi, then jamaa dizain kama anakomaa naye amle 0715 hiv sema demu anabana.. text yake hii hapa..

"Baby naridhika sana nawew, ila unanibania side B, nyimbo za side A zote nimeskiliza why uninyime za side B mpenz?, kama side A nilsikilza kwa elfu 70 bas side B lazma dau lipande.. nielewe bas"

Demu akajibu..

"Mi nina mtu na tuna malengo je akigundua na kuniacha itakuwaje"

Jamaa..

"Hawezi gundua, kwani huwa anakagua huko, ila navyokujua huwez nibania.. nitakutoa out ukafanye shopping ya maana, na nitakutumia 100,000 kesho"

Demu...

"Mmh poa tutaangalia tukikutana tar.22 jamaa akiondoka kama tulivyopanga".

Zipo nyingi nying but hizo kiufupi,....

Mimi kwa huyu demu..., nampa nachopata, najinyima sana apate yeye, nishamtoa shopping za maana mara kibao na tayari nishaandaa pesa nzuri tu kwa ajili yake, Krismass na mwaka mpya, maana tar.hizo sitakuwepo kutokana na majukum ya kazi yangu, nammudu kiujumla, nguo, usafiri, pesa ya kula, malazi nafanya mimi.. yeye hana chochote zaid ya gamba lake la diploma. Muda wote huo sina demu zaid yake.. na on bed naperfom fresh hadi anaomba poo yeye..

Nilichokifanya baada ya kugundua hilo, nimescreenshot charting zote hadi picha walizopiga wakiwa lodge wametumiana kupitia fb messenger nimejitumia kwenye simu yangu, then nimeuchuna.. kifupi tayari nimeshampiga chini ila siwez kumwambia tuachane kiboya boya hiv bila yeye kuonja joto la jiwe kidogo, na kamwe sitafanya naye mapenz tena.. ambacho kimebaki kwake ni kumpa kidonda cha milele..

Ifahamike ananipenda japo tamaa anazo, ashanitambulisha kwa rafiki zake wote, dada yake, hadi mama yake.. kifupi anaitwa mrs mimi... na uchafu anaoufanya ni siri kubwa sana na ndo maana anatumia fb messenger maana anajua siwez hisi chochote huko.. tayari tarehe ya kupeleka barua ishapangwa, tarehe 07 jan... mashangazi zake wote wanajiandaa kwa tukio hilo.. upande wetu pia tunajiandaa..

Nataka nifanye nini?? Siku hiyo ya tukio la kwenda kwao kujitambulisha rasmi ndo siku yangu ya kumuumiza, maana kwao anaaminika sana, anaimba kwaya kanisan, ana vyeo vingi ving vya huko kanisani.. na huwezi mzania hata kidogo kama ni mshenzi.. siku hiyo mbele ya Mchungaji wake, ndugu zake, mama ake, mashangazi na marafiki zake wakiwa na smartphone zao naenda umiza mtu vibaya sana, sio kwamba nitampiga hapana, ila nataka nimafanyie tukio ambalo litaweka maumivu ya kudumu kwenye moyo wake na kamwe hatokuja nisahau..

Tarehe 7 january, save the date....

USIPOTEZE MUDA KUNISHAURI CHOCHOTE, HUWA NIKIPANGA SIPANGUI..
usisite kutuma hayo mazaga zaga mtandao huku na facebook yake kuyaanika hayo maigizo ya 0713- na jf ututmie hizo picha si ameyataka!
 
Back
Top Bottom