Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Maskini ya Mungu..laiti huyo mdada angelikua anajua kitakachomtokea kesho....dah....jamaa angekausha tu asitokeee kuliko kwenda kumwaga kila kitu hadharani
Ila huyu kaka kama kweli atafanya hayo basi Pasi na shaka tukampime mkojo kwa mkemia mkuu maana huu ni uchochezi wa kiwango cha lami
 
mwanaume msimamo, hakuna kukubali kuchezewa kiboya boya, ila utu wa mtu ni kitu msingi, nakushauri usitokee kwenye tukio la huko church, watakuuliza kwa nini hujaenda, ndio baadaye uende kwao ukamchane makavu akiwa na wazazi wake na umwache huko, ila si kumdhalilisha mbele ya watu wengi eti kanisani. Hapo haujengi na wala hautafaidika kitu
 
Safi sana maana wanaojifanyaga wasafi ndio maandazi kabisa hawa viumbe ukiwafikiria sana utachanganyikiwa , Pumbavuu mfunze adabu
 
Back
Top Bottom