Revenue Intelligence Bureau (RIB) suluhisho la upotevu wa mapato ya Serikali

Revenue Intelligence Bureau (RIB) suluhisho la upotevu wa mapato ya Serikali

Hata uweke taasisi ngapi,kama watendaji sio waadirifu,tutarudi pale pale,zamani shughuri za madawa ya kulevya,na rushwa zilikuwa zinafanywa na jeshi la polisi,wakubwa wakaona waunde Takukuru,na Anti Drugs enforcement agency,lakini madudu yapo pale pale,
Wale wa kupambana na Rushwa,ndio wanaobambikizia watu kesi za kuhujumu uchumi,Ili wawakamue pesa.
You have a point, lkn je sasa tuogope kuunda kisa mengi hayakufanya vibaya na sababu kuu ni watendaji?
 
Mfano mwingine:

USA kwa mfano wana intelligence institutions na hata investigation institutions, lakini wana police.

Je, ndio kusema tusiwe na police Kwa sababu tayari kuna TISS?
Hata sisi
Tuna TISS tuna Police
Tuna DCI
Tuna FIU-Financial Intelligence Unit
Tuna TRA
Tuna BoT
Tuna Ministry of Finance

tuna vyote kama wao
Sijui kipi wanacho sie hatuna

ama huwaga mnahisi Serikali hawajielewi?
 
Naona anaiwinda teuzi kwa nguvu mwambie hizo idea watu wanazo humo maofisini tayari na walisha wasilisha kitambo. ....ashachelewa mkeka

Sent from my SM-P901 using JamiiForums mobile app
Usimvunje moyo pengine hata hana qualifications za ki run hio taasisi. Na ametoa mapendekezo mengi, Je awepo kwenye taasisi zote?

Wewe ni mtu maskini, bisha nikuumbue.
 
Usimvunje moyo pengine hata hana qualifications za ki run hio taasisi. Na ametoa mapendekezo mengi, Je awepo kwenye taasisi zote?

Wewe ni mtu maskini, bisha nikuumbue.
Tofautisha kuvunjwa moyo na kuelimishwa how the Government works

ichukulie kama elimu/challenge kwa wazo lako

tusipokuambia sisi watakuambia huko mbele
 
Intelligence itakuja na lipi jipya ambalo yule CAG hafanyi?

Umezungumzia checks and balance, nani huwa anasemea hayo?

ameandika kubaini upotevu wa mapato kila mwaka CAG huwa anazungumzia hivyo vitu au la?..nani ana uwezo wa kuona mapato na matumizi yote ya serikali na kuyasemea?

vyanzo vipya vya mapato unahisi kila mwaka kina nani wanatafiti na kuja na vitu vipya?.
Unahisi Ministry of Finance na BoT wana kazi gani?
Maadam, kaweka mawasiliano yake pale labda yeye anaweza kuelezea insights zaidi ama pia inaweza kuwa a wake up call Kwa Taasisi zinazofanana na hizo waone pengine mchango wao hauonekani kinagaubaga....mfano simcard tax haijakaa poa
 
Tofautisha kuvunjwa moyo na kuelimishwa how the Government works

ichukulie kama elimu/challenge kwa wazo lako

tusipokuambia sisi watakuambia huko mbele
Halafu unaona sasa ulivyo.
Unajibu as if ni mimi ndo muandishi, kwingineko unajibu as if sio Mimi. Hebu tulia kidogo huenda una hoja lkn huna utulivu
 
Maadam, kaweka mawasiliano yake pale labda yeye anaweza kuelezea insights zaidi ama pia inaweza kuwa a wake up call Kwa Taasisi zinazofanana na hizo waone pengine mchango wao hauonekani kinagaubaga....mfano simcard tax haijakaa poa
We ndo umeleta hilo bandiko

ukute ni wewe mwenyewe

Simcard tax haijakaa poa kivipi.?
Kama una hoja soma ya Wizara ya Fedha na uchallenge tusiwahi kupinga tu bila kusoma

Kubuni vyanzo vipya vya mapato unadhani kazi rahisi?.
Si ndo kazi hio tyr wenzenu huko wanaifanya.,
Afu bado mtu anakuja anasema ianzishwe taasisi kubuni vyanzo ...wonders shall never end
 
Ukiweza kujua taasisi za serikali na sheria zao na kazi zake basi ataelewa hilo andika alifanyie tafiti zaidi kwanza.,
Nampa heko, aendelee zaidi. Huenda kwako unaona halina manufaa lkn kuna wengine wanaona Lina manufaa. Sio lazima tukubaliane wote

Hata wakati wa kupigania Uhuru kuna watu wetu waliona hakuna haja ya kuwa na Uhuru na wengine waliona kuna haja.
 
Hahah duh
Cant you even think through and analyse?
Ni heko tu?.
Haya bwana
 
We ndo umeleta hilo bandiko

ukute ni wewe mwenyewe

Simcard tax haijakaa poa kivipi.?
Kama una hoja soma ya Wizara ya Fedha na uchallenge tusiwahi kupinga tu bila kusoma

Kubuni vyanzo vipya vya mapato unadhani kazi rahisi?.
Si ndo kazi hio tyr wenzenu huko wanaifanya.,
Afu bado mtu anakuja anasema ianzishwe taasisi kubuni vyanzo ...wonders shall never end
Basi nashukuru Kwa mchango wako sasa umetosha kafanye kazi ya kujenga Taifa letu.

Huyo naye tunamshukuru kila siku na wengine waunge mkono juhudi hii waache kulalamika na kulilia mtandaoni na kuilaumu serikali ya CCM
 
Usimvunje moyo pengine hata hana qualifications za ki run hio taasisi. Na ametoa mapendekezo mengi, Je awepo kwenye taasisi zote?

Wewe ni mtu maskini, bisha nikuumbue.
Yani huo ushauri umeona ni mpya hadi uweke na kinamba cha simu? [emoji23][emoji23] msizidharau sana hizi mamlaka jamani

Sent from my SM-P901 using JamiiForums mobile app
 
Hahah duh
Cant you even think through and analyse?
Ni heko tu?.
Haya bwana
Yaani kwamba asitoe mapendekezo? Acha umaskini. Kwani mapendekezo ni lqzima yafanyiwe kazi? Ni hiyari SASA uoga wako ni nini?

Pia yamkini kaona TANZANIA ya miaka 50 mbele huko, wakati ww unaona TANZANIA ya mwaka 2021 so lazima muwe na maono tofauti na usilazimishe Jambo vile uonavyo.

Cha muhimu aendelee kutoa mapendekezo vile awazavyo haizuiliwi serikali ya CCM haizuii mtu kupendekeza
 
Hakuna ushauri hapo yote hayo yanafanyika kwa taasisi zilizopo sema huwezi jua sababu upo nje ya game

Sent from my SM-P901 using JamiiForums mobile app
Naona umekuja na ID yako nyingine ile unepumzisha. Haya kafanye kazi uondokane na maadui wa Taifa ujinga, umaskini na maradhi.
 
Back
Top Bottom