You have a point, lkn je sasa tuogope kuunda kisa mengi hayakufanya vibaya na sababu kuu ni watendaji?Hata uweke taasisi ngapi,kama watendaji sio waadirifu,tutarudi pale pale,zamani shughuri za madawa ya kulevya,na rushwa zilikuwa zinafanywa na jeshi la polisi,wakubwa wakaona waunde Takukuru,na Anti Drugs enforcement agency,lakini madudu yapo pale pale,
Wale wa kupambana na Rushwa,ndio wanaobambikizia watu kesi za kuhujumu uchumi,Ili wawakamue pesa.
Hata sisiMfano mwingine:
USA kwa mfano wana intelligence institutions na hata investigation institutions, lakini wana police.
Je, ndio kusema tusiwe na police Kwa sababu tayari kuna TISS?
Usimvunje moyo pengine hata hana qualifications za ki run hio taasisi. Na ametoa mapendekezo mengi, Je awepo kwenye taasisi zote?Naona anaiwinda teuzi kwa nguvu mwambie hizo idea watu wanazo humo maofisini tayari na walisha wasilisha kitambo. ....ashachelewa mkeka
Sent from my SM-P901 using JamiiForums mobile app
Unachanganya madaYule aliyekuandikia kitabu cha History na ukasoma na kufanyia mtihani kuwa binadamu alikuwa nyani alikuwa na point gani?
Tofautisha kuvunjwa moyo na kuelimishwa how the Government worksUsimvunje moyo pengine hata hana qualifications za ki run hio taasisi. Na ametoa mapendekezo mengi, Je awepo kwenye taasisi zote?
Wewe ni mtu maskini, bisha nikuumbue.
Maadam, kaweka mawasiliano yake pale labda yeye anaweza kuelezea insights zaidi ama pia inaweza kuwa a wake up call Kwa Taasisi zinazofanana na hizo waone pengine mchango wao hauonekani kinagaubaga....mfano simcard tax haijakaa poaIntelligence itakuja na lipi jipya ambalo yule CAG hafanyi?
Umezungumzia checks and balance, nani huwa anasemea hayo?
ameandika kubaini upotevu wa mapato kila mwaka CAG huwa anazungumzia hivyo vitu au la?..nani ana uwezo wa kuona mapato na matumizi yote ya serikali na kuyasemea?
vyanzo vipya vya mapato unahisi kila mwaka kina nani wanatafiti na kuja na vitu vipya?.
Unahisi Ministry of Finance na BoT wana kazi gani?
Ukiweza kujua taasisi za serikali na sheria zao na kazi zake basi ataelewa hilo andika alifanyie tafiti zaidi kwanza.,Unrelated vp? Unapaswa kuwa na uwezo wa kupambanua mambo ki vyovyote vil
Halafu unaona sasa ulivyo.Tofautisha kuvunjwa moyo na kuelimishwa how the Government works
ichukulie kama elimu/challenge kwa wazo lako
tusipokuambia sisi watakuambia huko mbele
We ndo umeleta hilo bandikoMaadam, kaweka mawasiliano yake pale labda yeye anaweza kuelezea insights zaidi ama pia inaweza kuwa a wake up call Kwa Taasisi zinazofanana na hizo waone pengine mchango wao hauonekani kinagaubaga....mfano simcard tax haijakaa poa
We ndo umetuleteaHalafu unaona sasa ulivyo.
Unajibu as if ni mimi ndo muandishi, kwingineko unajibu as if sio Mimi. Hebu tulia kidogo huenda una hoja lkn huna utulivu
Nampa heko, aendelee zaidi. Huenda kwako unaona halina manufaa lkn kuna wengine wanaona Lina manufaa. Sio lazima tukubaliane woteUkiweza kujua taasisi za serikali na sheria zao na kazi zake basi ataelewa hilo andika alifanyie tafiti zaidi kwanza.,
Hahah duhNampa heko, aendelee zaidi. Huenda kwako unaona halina manufaa lkn kuna wengine wanaona Lina manufaa. Sio lazima tukubaliane wote
Hata wakati wa kupigania Uhuru kuna watu wetu waliona hakuna haja ya kuwa na Uhuru na wengine waliona kuna haja.
Basi nashukuru Kwa mchango wako sasa umetosha kafanye kazi ya kujenga Taifa letu.We ndo umeleta hilo bandiko
ukute ni wewe mwenyewe
Simcard tax haijakaa poa kivipi.?
Kama una hoja soma ya Wizara ya Fedha na uchallenge tusiwahi kupinga tu bila kusoma
Kubuni vyanzo vipya vya mapato unadhani kazi rahisi?.
Si ndo kazi hio tyr wenzenu huko wanaifanya.,
Afu bado mtu anakuja anasema ianzishwe taasisi kubuni vyanzo ...wonders shall never end
Yani huo ushauri umeona ni mpya hadi uweke na kinamba cha simu? [emoji23][emoji23] msizidharau sana hizi mamlaka jamaniUsimvunje moyo pengine hata hana qualifications za ki run hio taasisi. Na ametoa mapendekezo mengi, Je awepo kwenye taasisi zote?
Wewe ni mtu maskini, bisha nikuumbue.
Yaani kwamba asitoe mapendekezo? Acha umaskini. Kwani mapendekezo ni lqzima yafanyiwe kazi? Ni hiyari SASA uoga wako ni nini?Hahah duh
Cant you even think through and analyse?
Ni heko tu?.
Haya bwana
Ndio. Unataka kusemaje?Yani huo ushauri umeona ni mpya hadi uweke na kinamba cha simu? [emoji23][emoji23] msizidharau sana hizi mamlaka jamani
Sent from my SM-P901 using JamiiForums mobile app
Hakuna ushauri hapo yote hayo yanafanyika kwa taasisi zilizopo sema huwezi jua sababu upo nje ya gameNdio. Unataka kusemaje?
Naona umekuja na ID yako nyingine ile unepumzisha. Haya kafanye kazi uondokane na maadui wa Taifa ujinga, umaskini na maradhi.Hakuna ushauri hapo yote hayo yanafanyika kwa taasisi zilizopo sema huwezi jua sababu upo nje ya game
Sent from my SM-P901 using JamiiForums mobile app