Rhumba ya Kings music imekuja ili kuuzima wimbo wa Inama wa Diamond.

Ile gang mwalimu wao ni kijana toka Tz ndo huyo petit afro so isikushangaze sana kucheza wimbo wa kibongo


Achana na hiyo tetema, wiki mbili zilizopita nimeingia Electronic chainstore(Mediamarkt) moja, ni Rotterdam, nimesikia wanapiga huwo wimbo. Watu wengine hawana habari, mimi peke yangu ndio nilipagawa, naona Home boy katusua huyu.
 
Nipe link mkuu nimewasechi sijaona hiyo nyimbo.
 
Nipe link mkuu nimewasechi sijaona hiyo nyimbo.
 
Rhumba ndo wimbo gani mkuu ni mpya umetoka lini maaba kila napotembela ni liseme la huyu bwana baseeb.nitumie niisikize hii rhumba
 
Kifimbocheza unazingua hueleweki kabisa katika kiwanda cha mziki utashabikia binaadamu wenzako mpaka lini imba na wewe acha ushabiki wa kindezi
 
Kumbe kiba ana kundi lake nae??
Hebu nitajie wasanii wake mmoja mmoja kwa majina maana siwajui hata.
Halafu usimfananishe Simba na ujinga ujinga wakumshusha mtu kutoka WCB ni mtu mwingine kutoka WCB nje ya hapo ni ndoto.
 
anavobinua kishuzi diamond kwenye hiyo inama,ananikumbusha zuwena alivokua ananikalia,nilikua namsukumia mwichi balaa
 
Write your reply... Diamond msanii mzuri lakin tatizo lake anaimbia ngono, haimbi tena nyimbo za mapenzi anaimba ngono wazi wazi.
5
inama imezungumzia ngono..?
Ni nyimbo gan kwa sasa hapa bongo isiyozungumzia ngono ndani yake..?
 
waanze kumshusha lavalava waje kwa Mboso wamfuate Rayvan (ambae hawatoeza hata kidogo) wamfuate Harmonize (hawawezi hata kumjaribu ) ndo waje kwa Boss Diamond (labda wakamkodi davido) in short n kwamba hawawezi Mboso pekee tu hata Kiba mwenyewe hamuwezi mziki wa WCB tuwaachie wenyewe tu hao wengine wapambane na hali zao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…