kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
- Thread starter
- #41
Alikurupuka bila kusoma uzi vzuri.
Jamaa kakupiga KO hahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kakupiga KO hahahah
Ile gang mwalimu wao ni kijana toka Tz ndo huyo petit afro so isikushangaze sana kucheza wimbo wa kibongo
Nipe link mkuu nimewasechi sijaona hiyo nyimbo.Diamond ni habari nyingine...
Hats nchi za kigeni pamoja na kutoelewa baadhi ya maneno anayoimba wanazipenda mno nyimbo zake..
Juzi I was shocked naingia YouTube nkakumbuka gang moja hivi la teenagers la kudance wanaitwa Petit Afro Gang..nicheki wamecheza wimbo gani mpya nakuta tetema...loh!
Nipe link mkuu nimewasechi sijaona hiyo nyimbo.Diamond ni habari nyingine...
Hats nchi za kigeni pamoja na kutoelewa baadhi ya maneno anayoimba wanazipenda mno nyimbo zake..
Juzi I was shocked naingia YouTube nkakumbuka gang moja hivi la teenagers la kudance wanaitwa Petit Afro Gang..nicheki wamecheza wimbo gani mpya nakuta tetema...loh!
Liseme-lisebeneRhumba ndo wimbo gani mkuu ni mpya umetoka lini maaba kila napotembela ni liseme la huyu bwana baseeb.nitumie niisikize hii rhumba
daaRhumba ndo wimbo gani mkuu ni mpya umetoka lini maaba kila napotembela ni liseme la huyu bwana baseeb.nitumie niisikize hii rhumba
Nenda YouTube search neno petit afro..itatokea akaunti yao.Nipe link mkuu nimewasechi sijaona hiyo nyimbo.
Wanabana pua balaaa.Kumbe kiba ana kundi lake nae??
Hebu nitajie wasanii wake mmoja mmoja kwa majina maana siwajui hata.
Halafu usimfananishe Simba na ujinga ujinga wakumshusha mtu kutoka WCB ni mtu mwingine kutoka WCB nje ya hapo ni ndoto.
Mkuu kubali tu king wenu kaachwa mbali sana...Ndio hivo huyo jamaa wa petit afro ni mtizedi
inama imezungumzia ngono..?Write your reply... Diamond msanii mzuri lakin tatizo lake anaimbia ngono, haimbi tena nyimbo za mapenzi anaimba ngono wazi wazi.
5
waanze kumshusha lavalava waje kwa Mboso wamfuate Rayvan (ambae hawatoeza hata kidogo) wamfuate Harmonize (hawawezi hata kumjaribu ) ndo waje kwa Boss Diamond (labda wakamkodi davido) in short n kwamba hawawezi Mboso pekee tu hata Kiba mwenyewe hamuwezi mziki wa WCB tuwaachie wenyewe tu hao wengine wapambane na hali zao tu.bila shaka mavi yanagonga chupi sasa kama unafikia hatua ya kuja kulalamika hapa kuwa hawa vijana wadogo nataka kumshusha mondi, huu ni woga uliopitiliza, vijana hawana hawana hata ngoma tatu tayari ushaanza kuonyesha wasi wasi wako. Pole sana mkuu, nilifikiri labda ungewalinganisha hata na vijana wenzao wanaoanza game kwa sasa, pole sana bila shaka wanawanyima usingizi
Hakuna sehemu niliyosema mi ni shabiki wa kiba au mondi ila nilitaka kukuelewesha tu kuhusiana na uraia wa Petit AfroMkuu kubali tu king wenu kaachwa mbali sana...
Momfaya yenyew imemshinda