Rhumba ya Kings music imekuja ili kuuzima wimbo wa Inama wa Diamond.

Rhumba ya Kings music imekuja ili kuuzima wimbo wa Inama wa Diamond.

Ile gang mwalimu wao ni kijana toka Tz ndo huyo petit afro so isikushangaze sana kucheza wimbo wa kibongo


Achana na hiyo tetema, wiki mbili zilizopita nimeingia Electronic chainstore(Mediamarkt) moja, ni Rotterdam, nimesikia wanapiga huwo wimbo. Watu wengine hawana habari, mimi peke yangu ndio nilipagawa, naona Home boy katusua huyu.
 
Diamond ni habari nyingine...
Hats nchi za kigeni pamoja na kutoelewa baadhi ya maneno anayoimba wanazipenda mno nyimbo zake..
Juzi I was shocked naingia YouTube nkakumbuka gang moja hivi la teenagers la kudance wanaitwa Petit Afro Gang..nicheki wamecheza wimbo gani mpya nakuta tetema...loh!
Nipe link mkuu nimewasechi sijaona hiyo nyimbo.
 
Diamond ni habari nyingine...
Hats nchi za kigeni pamoja na kutoelewa baadhi ya maneno anayoimba wanazipenda mno nyimbo zake..
Juzi I was shocked naingia YouTube nkakumbuka gang moja hivi la teenagers la kudance wanaitwa Petit Afro Gang..nicheki wamecheza wimbo gani mpya nakuta tetema...loh!
Nipe link mkuu nimewasechi sijaona hiyo nyimbo.
 
Rhumba ndo wimbo gani mkuu ni mpya umetoka lini maaba kila napotembela ni liseme la huyu bwana baseeb.nitumie niisikize hii rhumba
 
Kifimbocheza unazingua hueleweki kabisa katika kiwanda cha mziki utashabikia binaadamu wenzako mpaka lini imba na wewe acha ushabiki wa kindezi
 
Kumbe kiba ana kundi lake nae??
Hebu nitajie wasanii wake mmoja mmoja kwa majina maana siwajui hata.
Halafu usimfananishe Simba na ujinga ujinga wakumshusha mtu kutoka WCB ni mtu mwingine kutoka WCB nje ya hapo ni ndoto.
 
anavobinua kishuzi diamond kwenye hiyo inama,ananikumbusha zuwena alivokua ananikalia,nilikua namsukumia mwichi balaa
 
Write your reply... Diamond msanii mzuri lakin tatizo lake anaimbia ngono, haimbi tena nyimbo za mapenzi anaimba ngono wazi wazi.
5
inama imezungumzia ngono..?
Ni nyimbo gan kwa sasa hapa bongo isiyozungumzia ngono ndani yake..?
 
bila shaka mavi yanagonga chupi sasa kama unafikia hatua ya kuja kulalamika hapa kuwa hawa vijana wadogo nataka kumshusha mondi, huu ni woga uliopitiliza, vijana hawana hawana hata ngoma tatu tayari ushaanza kuonyesha wasi wasi wako. Pole sana mkuu, nilifikiri labda ungewalinganisha hata na vijana wenzao wanaoanza game kwa sasa, pole sana bila shaka wanawanyima usingizi
waanze kumshusha lavalava waje kwa Mboso wamfuate Rayvan (ambae hawatoeza hata kidogo) wamfuate Harmonize (hawawezi hata kumjaribu ) ndo waje kwa Boss Diamond (labda wakamkodi davido) in short n kwamba hawawezi Mboso pekee tu hata Kiba mwenyewe hamuwezi mziki wa WCB tuwaachie wenyewe tu hao wengine wapambane na hali zao tu.
 
Back
Top Bottom