Riadha waahidi Tanzania medali ktk London IAAF World Championship 2017

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
July 31, 2017
Dar-es-Salaam, Tanzania
Mashindano ya Dunia ya Riadha IAAF World Championship London 2017
Mashindano ya riadha ya dunia yanatazamiwa kuanza Agosti 4 - 13 , 2017 jijini London. Na wanariadha wa Tanzania wameahidi kurudi na medali.

Jumla ya wanariadha watano watashiriki mbio za kilomita 42 za marathon ambao ni Felix Simbu mwenye rekodi ya 2:09.10- aliyoiweka hivi karibuni katika mashindano ya London Marathon 2017, Ezekiel Jafari ( 2:11.55 -Hannover Marathon 2017), Stephano Gwandu (2:14.18- Tunis Marathon), Sara Ramadhani (2:33.08- Dusseldorf Marathon 2017) na Magdalena Shauri (2:33.28-Hamburg Marathon 2017).

Wanariadha wengine watatu waliopo katika timu hiyo inayoondoka leo kuelekea London watashiriki mbio fupi ambapo Gabriel Gerald na Emanuel Giniki watashiriki mita 5,000 wakati Failuna Abdi yeye akishiriki mita 10,000.
Source: IAAF World Championships | Official website

Athletics Tanzania (AT) have selected eight track and field athletes to represent the country at the 2017 IAAF World Championship in London, UK from 4-13 August.

Athletes selected include the 2017 Mumbai Marathon gold medalist Alphonce Felix Simbu, who will join Ezekiel Jaffary and Stephano Huche to compete in the men’s marathon event.

Sarah Ramadhan and Magdalena Shauri will compete for medals in the women’s marathon, while Failuna Abdi will participate in the women’s 10,000m event.

Others are Gabriel Geay and Emmanuel Giniki, who will compete in the men’s 5,000m. The athletes are now undergoing residential camp in Arusha, Tanzania under two coaches – Francis John and Zacharia Barrie.

AT secretary general Wilhelm Gidabuday confirmed that all the athletes would leave for London next Tuesday 1 August.

“Our runners have done good training. They are now ready for the championships, we are proud to have very talented runners in the camp,” Gidabuday said.

Team Tanzania – IAAF World Championships London 2017
Men:

  1. Alphonce Felix Simbu – Marathon
  2. Ezekiel Jaffary – Marathon
  3. Stephano Huche – Marathon
  4. Gabriel Geay – 5000m
  5. Emmanuel Giniki – 5000m
Women:

  1. Sarah Ramadhan – Marathon
  2. Magdalena Shauri – Marathon
  3. Failuna Abdi – 10000m
Team Officials / Coaches

  1. Francis John
  2. Zacharia Barrie.
Source: Tanzania select eight for London 2017 IAAF World Championships – AthleticsAfrica
 
Hivi hawa jamaa si wawe wanaomba mechi za kirafiki na Kenya wapate uzoefu...au waige mazuri

Sasa hivi Tanzania mambo mazuri si unaona muda bora wa kila mwana riadha ktk mabano (personal best time PBT) kuna uwezekano mkubwa wa medali nyingi kufuatana na sayansi ya michezo.

Mfano wanaokimbia katika marathon muda wao kwa wanaume wa kasi ulio chini ya saa 2:15:00 wanaweza kurudi na medali. Tufuatilie siku ya Jumapili Agosti 6, 2017 wakati wa marathon za wanaume na wanawake zitapofanyika. Mbio za mita 10,000 ni siku ya Ijumaa & Jumamosi na za mitaa 5,000 Jumapili.
Source: IAAF World Championships | Official website
 
Nimeona pia, ngoja tusubiri hii neema kama wataturudisha kwenye record za kina Philibert Bay
 
Hivi hawa jamaa si wawe wanaomba mechi za kirafiki na Kenya wapate uzoefu...au waige mazuri

Mechi zipi za kirafiki, wakati mkitangaza mbio za Kilimanjaro Wakenya huja na kunyakua kila kitu, labda hao ndugu zenu waje kufanyia mazoezi Kenya.
 
Kwa wakenya haujaelewa sio! Wakenya kwa riadha wametuzidi mbali mkuu
Hata sisi kabla ya mvurugano wa kiuchumi mwishoni mwa miaka ya 70 na mwanzoni mwa 80 tulikuwa tunajiwakilisha vuzuri. Ethiopia imewakilisha hili bara vizuri zaidi ya kenya, (pitia wakimbiaji wao kwenye google ujifahamishe). Tatizo huwasikii kwasababu ya lugha na hawajiweki mbele kujionyesha kama wakenya.
 
eti ethiopia? mkuu huwez ukadanganya watu....hakuna ambaye hajui kuwa kenya is the best athletics nation in Africa...Ethiopia is great but they come after kenya...even south africa and Morocco are fantastic...refer to medal tables and see what I mean...ethiopia is no way near...ila kwasababu ya ile mvutano kati ya kenya na tz hapa JF unaona tu useme uwongo ili uzue rabsha...anyw tuache hayo, michezo zinaanza kesho kutwa, nafaham kuwa ethiopia watakua kule....sasa subiri wakenya watakupa jibu mwafaka...sindano itakuingia usikie utamu..superstar David Rudisha hatakuwa kule ila ngoja tu uone wakenya wenzake watakavyofanya magic..
 
kwa hili la watz nawatakia kila la heri wapate medali...Rome was not built in a day...it would be nice to see our brothers and sisters from tz dominate athletics in London together with Kenya, Ethiopia, Uganda and Burundi...eritreans also...lakini wanariadha watz kuahidi medali nikama Swaziland kuahidi kuwa watarudi na kombe la World Cup...
 
Haha , haya mzee
 
kwa hili la watz nawatakia kila la heri wapate medali...Rome was not built in a day...it would be nice to see our brothers and sisters from tz dominate athletics in London together with Kenya, Ethiopia, Uganda and Burundi...eritreans also
Sasa haka kametoka wapi?[emoji23] success ya Kenya imepatika miaka ya 2000 na kuendlea. Kabla ya hapo Kenya walikualwa wanaondoka na medal kidogo sana hata Tanzania walikuwa kwenye table. Wakati Ethiopia inpitia hali mbaya ya kisiasa na kiuchumi walikuwa wanawakibiza wakenya hapa kwa hapa. Na hapo hatujaingilia namba za wakenya wameshikwa kwa doping.
 
nimekwambia go to Google and refer to the medal table....kenya is number 3 after US, and Russia alone in the history of IAAF championships ever since it was instituted..mimi nakwambia vitu ambavyo vinaweza vika thibitishwa...na ndio maana unamwona mwenzako Daby anakubaliana nawe shingo upande...wachana na ushabiki wa kijinga na ukubali ukweli....kisha unasema eti tz sijui ethiopia...hebu tafta tanzania iko wapi kwa hio listi kisha uje tujadili kama wanaume..tz hata 100 metres pekee yake mmeshindwa....Kenya is the best in the world in athletics...na ndio maana kampuni kama ile ya NIKE na ADIDAS International wakitaka kufanya experiment wanakuja kuchukua mkenya na sio mwingine...wanatambua hayo pia...usidanganye wenzako mkuu...ulweli wanajua...
 


Wanaridha wa kenya waliposkia Tanzania nzima inatuma wanaridha wanane pekeyake

Anyway, Hio picha imepigwa leo, pale JKIA, team Kenya first batch ikifika kupanda ndege




 
Wanaume hawafanyi doping na corruption. Kenya athletics ni chafu wala sio ya kuigwa.
 
Wanaume wafanyi doping na corruption. Kenya athletics ni chafu walasio ya kuigwa.
hahahaha sindano imeingia...this trend i have seen it here many times...mtu akiletewa facts anaanza kubadilisha story...kama kwa battle kule...mkiletewa skyscrapers, mnaleta kibera...hio inathibitisha kuwa unajua nasema ukweli. mtupu na sindano imeingia vizuri...ndio maana unaanza kuleta mambo ya doping...sasa nikuulize, since the 1950s wakenya wamekuwa wakitumia dawa za kussisimua misuli na hawajawahi kupatikana mpaka wa leo???? jamaa fikiria
 
  1. All the medals ever won at Olympics games combined (except for 2016,) Ethiopia haioni kitu,compared to Kenya.. You cannot deny Kenya's success on this one




Alafu sasa uchanganye na Medal count ya 2016 Olympics, Kenya bado ndo ilikua inaongoza Africa kwa Last year olympics in Rio


Tena isitoshe, Kama ulikuwa haujui, We are the defending Champions wa hii michezo (iaaf World Championships), Sisi ndo tulishikilia nambari moja kwa mara ya kwanza kwa historia ya hii michezo na pia kwa historia ya Africa kwani hakuna nchi ya kutoka barani Africa imeshawai shilikia nambari moja,




So you can very well excpect Kenya inarudi na 'Kombe' na kama tutashindwa, You can still expect Kenya itakua inaongoza Africa kwa Medali na pia itakua atleast ndani ya top 3
 
Na huko 1950 mlikuwa mnashida kama siku hizi? Huko mlikuwa mnakimbia kihalali na Tanzania na Ethiopia wote walikuwa wanapata medals moja mpaka tatu. Leo kwa boost ya kitu fulani unaona matokeo. Tukimbie ile ya kweli tuone. Magufuli alimwabia Ethiopia PM anaomba Tanzania waka practice Ethiopia, hatukuomba Kenya maana tunajuwa nini kinafanyika Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…