July 31, 2017
Dar-es-Salaam, Tanzania
Mashindano ya Dunia ya Riadha IAAF World Championship London 2017
Mashindano ya riadha ya dunia yanatazamiwa kuanza Agosti 4 - 13 , 2017 jijini London. Na wanariadha wa Tanzania wameahidi kurudi na medali.
Jumla ya wanariadha watano watashiriki mbio za kilomita 42 za marathon ambao ni Felix Simbu mwenye rekodi ya 2:09.10- aliyoiweka hivi karibuni katika mashindano ya London Marathon 2017, Ezekiel Jafari ( 2:11.55 -Hannover Marathon 2017), Stephano Gwandu (2:14.18- Tunis Marathon), Sara Ramadhani (2:33.08- Dusseldorf Marathon 2017) na Magdalena Shauri (2:33.28-Hamburg Marathon 2017).
Wanariadha wengine watatu waliopo katika timu hiyo inayoondoka leo kuelekea London watashiriki mbio fupi ambapo Gabriel Gerald na Emanuel Giniki watashiriki mita 5,000 wakati Failuna Abdi yeye akishiriki mita 10,000.
Source: IAAF World Championships | Official website
Athletics Tanzania (AT) have selected eight track and field athletes to represent the country at the 2017 IAAF World Championship in London, UK from 4-13 August.
Athletes selected include the 2017 Mumbai Marathon gold medalist Alphonce Felix Simbu, who will join Ezekiel Jaffary and Stephano Huche to compete in the men’s marathon event.
Sarah Ramadhan and Magdalena Shauri will compete for medals in the women’s marathon, while Failuna Abdi will participate in the women’s 10,000m event.
Others are Gabriel Geay and Emmanuel Giniki, who will compete in the men’s 5,000m. The athletes are now undergoing residential camp in Arusha, Tanzania under two coaches – Francis John and Zacharia Barrie.
AT secretary general Wilhelm Gidabuday confirmed that all the athletes would leave for London next Tuesday 1 August.
“Our runners have done good training. They are now ready for the championships, we are proud to have very talented runners in the camp,” Gidabuday said.
Team Tanzania – IAAF World Championships London 2017
Men:

- Alphonce Felix Simbu – Marathon
- Ezekiel Jaffary – Marathon
- Stephano Huche – Marathon
- Gabriel Geay – 5000m
- Emmanuel Giniki – 5000m
- Sarah Ramadhan – Marathon
- Magdalena Shauri – Marathon
- Failuna Abdi – 10000m
- Francis John
- Zacharia Barrie.