Riadha waahidi Tanzania medali ktk London IAAF World Championship 2017

Usain Bolt ameshinda mbio za mchujo. Finali 100m Kesho. Live Eurosport1.
 
Wanaridha wa kenya waliposkia Tanzania nzima inatuma wanaridha wanane pekeyake

Anyway, Hio picha imepigwa leo, pale JKIA, team Kenya first batch ikifika kupanda ndege

jamaa wanacheka yanaonekana meno tu,
Dadeq.
Teeth is the only white Thing in Kenya,
Kenyans are Dark mazee. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
jamaa wanacheka yanaonekana meno tu,
Dadeq.
Teeth is the only white Thing in Kenya,
Kenyans are Dark mazee. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
We may be as dark as the ayam cemani chickens, but we rule the athletics and we are proud of it.
 
Hapa ni wivu tu, baadhi yenyu hamuwezi sikia vizuri mkiona Kenya inafanya vizuri, lazima mtafute kasoro! kibera, njaa, corruption., haibadilishi mazuri ya Kenya.
 
Hapa ni wivu tu, baadhi yenyu hamuwezi sikia vizuri mkiona Kenya inafanya vizuri, lazima mtafute kasoro! kibera, njaa, corruption., haibadilishi mazuri ya Kenya.
Kujiskia vizuri au kutojiskia vizuri hakuwezi kubadilisha matokeo!

Tunachokifanya zaidi ni kuanza kuweka nguvu ambayo ilipotea.
 
Men's 10000 m leo saa tano usiku. Mo Farah kusuka au kunyoa? Msaada live link.
Mo ni mnyamaaaaa....

Mpango ovu wa Waethiopia na Wakenya umeshindwa kumzuia jana...
 
Mdada mtanzania yupo uwanjani sasa mbio za mita 10,000
 
Waiting to watch Usain sprinting for the very last time...100m final
 
Waiting to watch Usain sprinting for the very last time...100m final
What a race...although Gatlin has just clinched the win with 9.92 sec

But the crowd wako busy wakimuaga Bolt ambaye kapata bronze with 9.95sec...

Bye bye Usain...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…