simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Usain Bolt ameshinda mbio za mchujo. Finali 100m Kesho. Live Eurosport1.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa wanacheka yanaonekana meno tu,Wanaridha wa kenya waliposkia Tanzania nzima inatuma wanaridha wanane pekeyake
![]()
Anyway, Hio picha imepigwa leo, pale JKIA, team Kenya first batch ikifika kupanda ndege
![]()
![]()
We may be as dark as the ayam cemani chickens, but we rule the athletics and we are proud of it.jamaa wanacheka yanaonekana meno tu,
Dadeq.
Teeth is the only white Thing in Kenya,
Kenyans are Dark mazee. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hapa ni wivu tu, baadhi yenyu hamuwezi sikia vizuri mkiona Kenya inafanya vizuri, lazima mtafute kasoro! kibera, njaa, corruption., haibadilishi mazuri ya Kenya.Na huko 1950 mlikuwa mnashida kama siku hizi? Huko mlikuwa mnakimbia kihalali na Tanzania na Ethiopia wote walikuwa wanapata medals moja mpaka tatu. Leo kwa boost ya kitu fulani unaona matokeo. Tukimbie ile ya kweli tuone. Magufuli alimwabia Ethiopia PM anaomba Tanzania waka practice Ethiopia, hatukuomba Kenya maana tunajuwa nini kinafanyika Kenya.
Kujiskia vizuri au kutojiskia vizuri hakuwezi kubadilisha matokeo!Hapa ni wivu tu, baadhi yenyu hamuwezi sikia vizuri mkiona Kenya inafanya vizuri, lazima mtafute kasoro! kibera, njaa, corruption., haibadilishi mazuri ya Kenya.
Usain Bolt ameshinda mbio za mchujo. Finali 100m Kesho. Live Eurosport1.
Mo ni mnyamaaaaa....Men's 10000 m leo saa tano usiku. Mo Farah kusuka au kunyoa? Msaada live link.
Bado 5000 m mbio za mchujo jumapili fainali jumanne.Mo ni mnyamaaaaa....
Mpango ovu wa Waethiopia na Wakenya umeshindwa kumzuia jana...
Kama kawaida kaambulia nafasi ya 23...akiachwa nyuma dk 2 na ushee na mshindiMdada mtanzania yupo uwanjani sasa mbio za mita 10,000
What a race...although Gatlin has just clinched the win with 9.92 secWaiting to watch Usain sprinting for the very last time...100m final