Rias Samia: Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi

Rias Samia: Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Hebu tumskie kidogo Rais wetu akijaribu kutuambiwa kuwa hii ni nyeupe na wakati sisi kwa macho yetu tunaona ni nyeusi. Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi.

 
Nahisi vile vyoo na chandarua kwa hisani ya wazungu vimejaa akilini mwake we toka lini visiwani kukawa ana akili zaidi ya kungu na urojo.
 
Hivi huyu anafikiria kwa kutumia matako au? hata kenya na SA tu wanatutoa jasho mpaka tunahisi kizungu zungu leo anaongelea USA na EUROPE
 
Hebu tumskie kidogo Rais wetu akijaribu kutuambiwa kuwa hii ni nyeupe na wakati sisi kwa macho yetu tunaona ni nyeusi. Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi.

View attachment 3447933
INAMAANA HAPA UKIWEKA MITANO TENA (5) TZ aka MALAWI INAKUWA NCHI YA KWANZA TAJIRI DUNIANI NA MBINGUNI
Na WAARABU WATARUDI KWAO KWASABABU TUTAKUWA HATUHITAJI WAWEKEZAJI TENA
 
Back
Top Bottom