tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
INAMAANA HAPA UKIWEKA MITANO TENA (5) TZ aka MALAWI INAKUWA NCHI YA KWANZA TAJIRI DUNIANI NA MBINGUNIHebu tumskie kidogo Rais wetu akijaribu kutuambiwa kuwa hii ni nyeupe na wakati sisi kwa macho yetu tunaona ni nyeusi. Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi.
View attachment 3447933
Shida kubwa hapa ni kumuelewa,ndilo tatizo la walio wengi.Hebu tumskie kidogo Rais wetu akijaribu kutuambiwa kuwa hii ni nyeupe na wakati sisi kwa macho yetu tunaona ni nyeusi. Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi.
View attachment 3447933