Riba ya 60% access Bank inatisha BOT mpo wapi?

Mkuu hiyo mbona ni kawaida kwa Tanzania, kwa sababu katika huo mkopo wa milioni 5 atarudisha 6,780,000, ambapo sawa sawa na liba ya shilingi 1,780,000!
 

Mkopo 30 m, riba 3%, on reducing balance, muda miezi 12,,
Marejesho yatakuwa sh 3,007,520.00 kwa @ mwezi,
Jumla malipo yote sh 36,090,034,, Riba pekee sh 6,090,034,
Unafuu au Ughali inategemea vitu vingi, kwa kulinganisha na Bank km CRDB, NMB, NBC, hao wako ghali sana kwani hao niliowataja kwa mtindo huo huo wa Reducing Balanca riba ni 1.5% hadi 2 % @ mwezi,,,,
Pia kwa kulinganisha na MICROFINCE Zingine Finca wanaweza kuwa wa kawaida au nafuu kdg kwani wengi wako 3% hadi 10% on reducing balance kwa mwezi. Yategemea wepesi wa kupata mkopo, kiasi cha mkopo, muda wa kulipa, dhamana, lengo halisi la mkopo n.k.
NI MATUMAINI YANGU KUWA NIMEKUJIBU.
 
Tatizo ni elimu juu ya riba huenda wengi hatuijui ukichukua mkopo kwa miezi mingi riba inaongezeka zaidi.
 
mi sijaona unafuu wowote wa Nmb kwani kuna charge za mkopo 1% ambayo ni mbali na riba alafu afisa mkopo lazima ale 10%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…