chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao.
Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na mapenzi yake makubwa Kwa Taifa, Sasa yanatugharimu bilioni 400 na zaidi, hiyo ni riba tu, bado deni halisi.
JPM, huko uliko, uliowakuta ndio wataamua unapumzika au hupumziki, na wataamua ni kwa amani au laa