Riba ya zaidi ya bilioni 400 inatokana na Hayati Magufuli kugoma kuwalipa makandarasi kwa takriban miaka mitano

Riba ya zaidi ya bilioni 400 inatokana na Hayati Magufuli kugoma kuwalipa makandarasi kwa takriban miaka mitano

Ukishaona tu neno 'naskia' ujue huo ni uwongo tayari.Unajua hizo kesi ni za muda gani? Hebu muwe mnachukua muda kujielimisha kabla hamjacoment hapa.
Mm nimesikia nikashea hapa, wewe unaepinga leta facts siyo blah blah
 
Sisi Waswahili tunasema TENDA WEMA NENDA ZAKO ila Mungu anatuambia TUWAHESHIMU BABA NA MAMA TUPATE MIAKA MINGI NA HERI DUNIANI.
 
HAYO MARIBA YALIYOTOKANA NA MIKOPO YA AWAMU YA TANO, AWAMU YA SITA ISIUSIKE NAYO KABISA, ILA KAMA ITAWEZEKANA IWALIPE TU KILE KILICHOKUWA KIKIDAIWA ILI KUWARUDISHIA UWEZO.
Ili na nyinyi pia mpate mgao wenu
 
HAYO MARIBA YALIYOTOKANA NA MIKOPO YA AWAMU YA TANO, AWAMU YA SITA ISIUSIKE NAYO KABISA, ILA KAMA ITAWEZEKANA IWALIPE TU KILE KILICHOKUWA KIKIDAIWA ILI KUWARUDISHIA UWEZO.
Na yaliyotokana na awamu ya 4 atahusika nayo nani? Jpm aliona huu upuuzi wa awamu ya 4 ndomana akazuia malipo kwa maslahi mapana ya taifa. Sasa mmeamua kulipana, mnaweka na riba ili mle vizuri "cha juu"
 
Back
Top Bottom