Mkuu na bado.
Iko siku serikali itachukuliwa kwa sababu ya ujinga wa CCM kumpa nchi kichaa.
Kuna makesi kibao ya madai yatafunguliwa.
Lisu na wengine walisema wakaonekana wasaliti
HAYO MARIBA YALIYOTOKANA NA MIKOPO YA AWAMU YA TANO, AWAMU YA SITA ISIUSIKE NAYO KABISA, ILA KAMA ITAWEZEKANA IWALIPE TU KILE KILICHOKUWA KIKIDAIWA ILI KUWARUDISHIA UWEZO.
HAYO MARIBA YALIYOTOKANA NA MIKOPO YA AWAMU YA TANO, AWAMU YA SITA ISIUSIKE NAYO KABISA, ILA KAMA ITAWEZEKANA IWALIPE TU KILE KILICHOKUWA KIKIDAIWA ILI KUWARUDISHIA UWEZO.
Na yaliyotokana na awamu ya 4 atahusika nayo nani? Jpm aliona huu upuuzi wa awamu ya 4 ndomana akazuia malipo kwa maslahi mapana ya taifa. Sasa mmeamua kulipana, mnaweka na riba ili mle vizuri "cha juu"