Riba za mikopo kwa watumishi, CRDB na NMB

chotibalula

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2014
Posts
206
Reaction score
110
Napata wakati mgumu kuelewa, hizi bank ukienda kuuliza riba ya mkop wa kias flan ni sh ngap.. Wanakujibu kwamba ukichukua kiasi flan let say 13m rejesho lake ni kiasi flan.... Bila kukuambia actual riba. Sasa naomba wenye ufaham zaid kwenye hii issue.
 
Mbona wanakipa na mkataba kabisa kama ni mtumishi,na mkataba unaonyesha kiasi unachokatwa,
 
Asanteni sana wadau kwa ushauri... Nataka mwezi ujao nichukue, maana nimebakiza mwezi mmoja nithibitishwe
 
Ingia kwenye tovuti ya kampuni hizo utaona mawasiliano ya namba za muda wa masaa 24 huduma kwa wateja. Hapo waweza wauliza riba ya mikopo ya wafanyakazi nafikiri ni taarifa huru kwa umma na si ya kuficha.
Kila la kheri.
 
Nategemea afsa mkopo aweke namba ya simu..hela hiyo..
 
Basic ya graduate wa social science serikalini inaeleweka
 
Crdb ni 17% mkuu
 
Kuna uzi humu unazungumzia mikopo ya crdb na nmb...search upate some idea...lakin generally crdb wako njema japo process yao ni ndefu kidogo
 
Mkuu 17% gawanya kwa 12 annually=1.4 ambayo ni monthly. Sasa ukiaza ku calculate mfano umechukua 12m kwa mda 5yrs 12,000,000 x 12/100 =168000 riba ya kwa mwezi. Sasa chukua 12000000/5=2400,000/12=200,000. So riba kwa mwez inakua 200,000 +168000=368,000. Sasa chukua hii hela mara miez 60 kwa maana ya miaka 5. Twende, 368,000 x 60 =22,080,000/=. Jamani si ndo hivi au mm nakosea.
 
riba I = PRT/100
kama R= 17%
p= 12000000
T= 5
12000000x0.17x5= 10200000
riba kwa miaka mitano= 10200000
kwa hiyo ukichukua 12,000,000
riba kwa mwaka 10200000/5=2040000/=

utarudisha hela za watu 22200000/=
kwa miaka mitano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…