BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
bank zinadanganya sana kuhusiana na riba ila kiukwel riba ni 50%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vzuri. Ila hao maafisa mikopo hawazi kukupigia hvo hata cku moja . Techniqie za mikopo hzo atakuzungushaaaa mpaka uingie lain hlf utaelewa kwenye salary slip. Mikopo inasaidia kopa kwa malengo.Mkuu 17% gawanya kwa 12 annually=1.4 ambayo ni monthly. Sasa ukiaza ku calculate mfano umechukua 12m kwa mda 5yrs 12,000,000 x 12/100 =168000 riba ya kwa mwezi. Sasa chukua 12000000/5=2400,000/12=200,000. So riba kwa mwez inakua 200,000 +168000=368,000. Sasa chukua hii hela mara miez 60 kwa maana ya miaka 5. Twende, 368,000 x 60 =22,080,000/=. Jamani si ndo hivi au mm nakosea.
Kwa hiyo kiuhalisia unarudisha mara mbili ya hela uliyochukuariba I = PRT/100
kama R= 17%
p= 12000000
T= 5
12000000x0.17x5= 10200000
riba kwa miaka mitano= 10200000
kwa hiyo ukichukua 12,000,000
riba kwa mwaka 10200000/5=2040000/=
utarudisha hela za watu 22200000/=
kwa miaka mitano
Hapo kila mwaka wanakata asilimia 17% ya deni unalodaiwa kwa hiyo kwa miaka kama mitano inaweza hata kuzidi hiyo kutegemeana na makatoHiyo 18% ni magumashi, mi naonaga inakuja 50% yaani ukichukua mkopo 12m jiandae kurudisha jumla 18m
Milioni kumi na mbili,baada ya miaka mitano milioni 22 na laki mbili au,?? ,,,poleni mnaokopa ,,,riba I = PRT/100
kama R= 17%
p= 12000000
T= 5
12000000x0.17x5= 10200000
riba kwa miaka mitano= 10200000
kwa hiyo ukichukua 12,000,000
riba kwa mwaka 10200000/5=2040000/=
utarudisha hela za watu 22200000/=
kwa miaka mitano
mill 22........Hiyo 18% ni magumashi, mi naonaga inakuja 50% yaani ukichukua mkopo 12m jiandae kurudisha jumla 18m
u best uko wapi? umekopa mil 10 na utalipa mil 15,180,000 hapo umewapa faida mil 5 na ushee. yani riba ni nusu ya ulichokopa.nakuunga mguu, crdb is the best.
Kwa hiyo kiuhalisia unarufisha mara mbili ya hela uliyochukua
Benki hazidanganyi ila kinachotokea ni kwamba wanakuambia 18% kwa mwaka kwa miaka mitano tayari karibu 60% ya mkopo.bank zinadanganya sana kuhusiana na riba ila kiukwel riba ni 50%
15,180,000/=Kwa miaka mitano, Sio unachoshangilia,riba=~~45%Mfano me nilichukua mil 10 nakatwa 253,000 kws miaka mitano mkuu so kwenye mkataba inaonekana mwanzo mwenga,ila crdb is the best kwa wote
NMB wana makato yanaitwa bima ya mkopo! mfano ukichukuwa 5m utakatwa laki 3 na utapewa 4.7m! Riba inabaki kama kawa ya 5m. Mm nimewashit miaka 6 iliyopita
Hii mikopo itakua na manufaa kidogo sana kwa mkopaji ukilinganisha na bankkitu ambacho ujue ni kwamba kias cha bima kiko subjected kwa muda wa mkopo sio fixed amount,nilichojifunza mie ktk mikopo hyo ni kwamba bima wana calculate hivi:
1)wanaochaji pale unapo pata mkpo ni
kiasi x asilimia ya bima x muda(mwaka 1,2,34 n.k)
2.wanachaji katika kiasi kilichobaki cha mkopo na utagundua hapa utaanza na makato ya riba makubwa na kadri mkopo ulishuka na bima inashuka
Na karibia taasisi zote zinazokopesha zina hii gharama ya bima
Chukua rejesho la kila mwezi, zidisha mara miezi ya mkopo halafu jumla yake toa na mkopo uliochukua. Jibu lake ndo faida yao bank.Napata wakati mgumu kuelewa, hizi bank ukienda kuuliza riba ya mkop wa kias flan ni sh ngap.. Wanakujibu kwamba ukichukua kiasi flan let say 13m rejesho lake ni kiasi flan.... Bila kukuambia actual riba. Sasa naomba wenye ufaham zaid kwenye hii issue.
Hiyo 18% ni magumashi, mi naonaga inakuja 50% yaani ukichukua mkopo 12m jiandae kurudisha jumla 18m