Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Bodi ys Ligi na TFF ndo waliahirisha Mechi Mkuu.."Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo
Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.
Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.
Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.
Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.
Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Iliahirishwa saa ngapi !?? Simba barua Yao ya kusema hawatoscheza ni ya saa ngapi!?? Mbona mnajitoa ufahamu... Mpaka mchana inahairishwa bodi ya ligi walisema mechi ipo ..wakati Simba walisema jana yake usiku hawachezi ....Bodi ys Ligi na TFF ndo waliahirisha Mechi Mkuu..
Hukuona Tangazo lao?
Sababu za kuhairishwa match ni zipi,na je zipo ndani ya sheria na kanuni husika?Bodi ys Ligi na TFF ndo waliahirisha Mechi Mkuu..
Hukuona Tangazo lao?
Hao wanajitoa ufahamu hawataki kueleza chanzo husika mpaka tumefika hapa tulipo.Iliahirishwa saa ngapi !?? Simba barua Yao ya kusema hawatoscheza ni ya saa ngapi!?? Mbona mnajitoa ufahamu... Mpaka mchana inahairishwa bodi ya ligi walisema mechi ipo ..wakati Simba walisema jana yake usiku hawachezi ....
SAsa Hilo swala Kuna Haja ya Kuwalaumu Simba kweli??Iliahirishwa saa ngapi !?? Simba barua Yao ya kusema hawatoscheza ni ya saa ngapi!?? Mbona mnajitoa ufahamu... Mpaka mchana inahairishwa bodi ya ligi walisema mechi ipo ..wakati Simba walisema jana yake usiku hawachezi ....
Walieleza Kuwa Sababu ni Hali ya Dharura..Sababu za kuhairishwa match ni zipi,na je zipo ndani ya sheria na kanuni husika?
Ndio Maana Pale Utopoloni Wenye Akili ni Wawili tu Sunday Manara na Mzee kikwete TU Wengineo Wote Waliobakia ni Amnazo kabisa Kichwani"Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo
Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.
Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.
Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.
Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.
Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Ila Simba si walishasema hawachezi kabla ya kuhairisha!? Barua Yao si walisema wanafanya uchunguzi ...majibu ya uchunguzi yapo wapi mpaka wapange ratiba nyingine bila majibu ya uchunguzi!??Walieleza Kuwa Sababu ni Hali ya Dharura..
KULINGANA na Bodi ya Ligi pitia Tangazo la Kuahirisha
Walighairisha kwa sababu zipi?Bodi ys Ligi na TFF ndo waliahirisha Mechi Mkuu..
Hukuona Tangazo lao?
Tangazo bila report ya nini kilitokea?Bodi ys Ligi na TFF ndo waliahirisha Mechi Mkuu..
Hukuona Tangazo lao?
Baada ya Uchunguzi Walitoa Barua Ya Kuahirisha Mchezo..Ila Simba si walishasema hawachezi kabla ya kuhairisha!? Barua Yao si walisema wanafanya uchunguzi ...majibu ya uchunguzi yapo wapi mpaka wapange ratiba nyingine bila majibu ya uchunguzi!??
Soma Hapo Utapata JibuWalighairisha kwa sababu zipi?
Yanga Mnalalamika Sana Tafuta Kanuni Usome au Nije nikusaidie Kuchanbua kanuniTangazo bila report ya nini kilitokea?
Kumbuka simba walisema hawatacheza mpaka wahuni waadhibiwe, sasa hivi wako tayari kucheza, je wahuni wameadhibiwa?
Bodi wakasema wanakuja na report kamili, iko wapi?
Ni kanuni gani nimeonekana kutoifahamu kwa maswali yangu hapo juu?Yanga Mnalalamika Sana Tafuta Kanuni Usome au Nije nikusaidie Kuchanbua kanuni