Ricardo Momo: Yanga wana sababu za msingi kugomea mechi

Kanuni kwani zinasemaje?
Screenshot_20250506_192831_Adobe Acrobat.jpg
 
"Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo

Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.

Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.

Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.

Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.

Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Sisi Simba haya malumbano HAYATUHUSU.
 
Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.
Wakati Yanga inagomea derby dhidi ya Simba kisa TFF/Bodi ya ligi imebadili muda wa mchezo kwa kuongeza saa mbili mbele alikuwa hajazaliwa huyo jamaa bila shaka.

Kutokuwa na imani na TFF huku unacheza mechi zingine za ligi hiyo hiyo ya TFF ni wazimu.
 
Huyo Chekibob ni Mgema aliyesifiwa,shinikizo linaloendelea nyuma ya pazia linaweza kumtoa hapo yeye na GSM.
 
"Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo

Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.

Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.

Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.

Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.

Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Sawa hakimu
 
Sababu za kuhairishwa match ni zipi,na je zipo ndani ya sheria na kanuni husika?
Yanga hawakutaka kujua sababu za mechi kuahirishwa ndo maana waligoma kukaa meza moja na bodi ya ligi wakakimbilia CAS, wameangukia pua huko sasa nani wanamsumbua awaeleze si warudi CAS?
 
Wakati Yanga inagomea derby dhidi ya Simba kisa TFF/Bodi ya ligi imebadili muda wa mchezo kwa kuongeza saa mbili mbele alikuwa hajazaliwa huyo jamaa bila shaka.

Kutokuwa na imani na TFF huku unacheza mechi zingine za ligi hiyo hiyo ya TFF ni wazimu.
kabisa mkuu,Simba ilipeleka timu saa 1 ila Yanga hawakutokea!Ikapangwa tarehe nyingine,Simba hakugomea mchezo!
Yanga anataka kudekezwa kama last born!🥴
 
Soma para ya mwisho ...halagu niambie taarifa imetolewa lini mbona unajitoa ufahamu!?? Taarifa kamili itatolewa na kutangaza tarehe ya mechi ... Taarifa IPO wapi na tarehe imetangazwa...
Kabla ya Taarofa kutolewa Mkaenda Kuishtaki BoDI na TFF na mkasema Hamna Imani Nayo..

Sasa Chombo ambacho Huna Imani nacho unataka Kikupe Taarifa ya Uchunguzi Uko sawa Kweli??
 
Wana simba achaneni na uto mnakosa muda wa kufurahia timu yenu...
Wana fainali wa mashindano ya Africa...
 
Back
Top Bottom