G
guest-1787677352
Guest
Muungano upi? Inasikitisha sana watoto wa Rage ni empty set kabisa.Ya muungano

Unaniuliza swali la kizuzu ili nikujibu?? Kama huyajui mashindano Simba aliyopo hilo sio jukumu langu kukujulisha....Muungano upi? Inasikitisha sana watoto wa Rage ni empty set kabisa.
Derby imepangiwa tarehe 15 Juni, 2025."Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo
Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.
Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.
Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.
Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.
Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Rage ajengewe mnara. 😁😁Unaniuliza swali la kizuzu ili nikujibu?? Kama huyajui mashindano Simba aliyopo hilo sio jukumu langu kukujulisha....
Zuzu kabisa....
Na Magoma ajengewe pia...Rage ajengewe mnara. 😁😁
Tupe hiyo "time limit"Hiyo kanuni ina time limiti sio unakurupuka asubuhi nakuahirisha
24 hoursTupe hiyo "time limit"
Yaite mashindano ya akina mama au netball au UMISETAMashindano gani mkuu?
5imba yupo UMISETA au netball au shirikisho au mashindano ya akina mamaUnaniuliza swali la kizuzu ili nikujibu?? Kama huyajui mashindano Simba aliyopo hilo sio jukumu langu kukujulisha....
Zuzu kabisa....
Chizi huyo nae.....kwani ulipofika muda wa mechi simba walitekeleza iyo dhamila yao au?"Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo
Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.
Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.
Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.
Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.
Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Yupo hatuchedhi hatuchedhi kombaini...5imba yupo UMISETA au netball au shirikisho au mashindano ya akina mama
Yanga hii sio ya kucheza shirikishoYupo hatuchedhi hatuchedhi kombaini...
La wamama mlicheza nyie msimu uliopita...
Vipi mwaka huu mko kwny mashindano gani maana nasikia mnaitwa mwakakundi...
Yanga ni luza material failures in all means....Yanga hii sio ya kucheza shirikisho
Huko tumewaachia 5imba na Coast union
Yanga ni champion material
Yanga amekufunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5Yanga ni luza material failures in all means....
Umesema ukweli mtupu mkuu, ila simba ndio wenye tfff yao sasa"Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo
Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.
Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.
Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.
Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.
Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Hizo zote marudio....hakuna jipya hapo ambalo mnyama hajawahi fanya....hatu hatu hatu fc.....Yanga amekufunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Naona unashindilia shimoni kama Manara vile"Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo
Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.
Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.
Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.
Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.
Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Ewaah wewe ndo una hoja sasa naomba usikilizweSababu za kuhairishwa match ni zipi,na je zipo ndani ya sheria na kanuni husika?