ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Hebu nambie kwanini bodi ya ligi walihairisha mechi March 8Zitaje hapa hoja za msingi za yanga, usipozitaja wewe ndo mbumbumbu.
Hebu nambie kwanini bodi ya ligi walihairisha mechi March 8Zitaje hapa hoja za msingi za yanga, usipozitaja wewe ndo mbumbumbu.
Wewe mbumbumbu tu, hili ni jukwaa huru hakuna anayemshobokea mtu.Punguza shobo.
Soma kuelewa sio kujibu
Pole bibie kunywa maji mengi na meza vidonge vyako vya kuondoa presha yake ya kupanda, Bado tunakuhitaji mbumbumbu uwe jukwaaniSiongei marudio mr![]()
Kesi sita zote unashindwaangalau yanga wapo wenye akili ila upande wa pili wote mbumbumbu
Kuna barua humu ya TFF ya kuahirisha mechi imetumwa usiniulize maswali ya kipumbavu.Hebu nambie kwanini bodi ya ligi walihairisha mechi March 8
Bodi ya ligi walisema lini na saa ngapi mechi ipo baada ya Simba kugomea mechi?Iliahirishwa saa ngapi !?? Simba barua Yao ya kusema hawatoscheza ni ya saa ngapi!?? Mbona mnajitoa ufahamu... Mpaka mchana inahairishwa bodi ya ligi walisema mechi ipo ..wakati Simba walisema jana yake usiku hawachezi ....
Umejionyesha ulivo mbumbumbu yaani mwanachama hai wa RageKuna barua humu ya TFF ya kuahirisha mechi imetumwa usiniulize maswali ya kipumbavu.
Nambie sababu zipi za msingi ambazo zilifanya mechi kuhairishwaBodi ya ligi walisema lini na saa ngapi mechi ipo baada ya Simba kugomea mechi?
Leta statement Yao.
😂😂 Eti rage.Umejionyesha ulivo mbumbumbu yaani mwanachama hai wa Rage
Nakupuuza
NutshellWewe mbumbumbu tu, hili ni jukwaa huru hakuna anayemshobokea mtu.
Huyo ndo aliwapa jina la mambumbumbu😂😂 Eti rage.
Sina ugonjwa mzee Ngara mimi binti kigori...hahahahahPole bibie kunywa maji mengi na meza vidonge vyako vya kuondoa presha yake ya kupanda, Bado tunakuhitaji mbumbumbu uwe jukwaani
Hawa wanauliza maswali ya kipumbavu mpk unashangaa sasa kama hawajaridhika na maelezo ya TFF... wakae kwa kutulia...Kuna barua humu ya TFF ya kuahirisha mechi imetumwa usiniulize maswali ya kipumbavu.
Nina watoto 3Sina ugonjwa mzee Ngara mimi binti kigori...hahahahah
Nikuombe tuu usijepata depression ukashindwa kuzalisha maaana utakua umeishi bureee..sio kwa stress hizi mnazopitia...
Kuna ujinga hata hauna tafsiri. Mojawapo ni kuweka rehani nafasi ya kucheza klab bingwa Africa sababu ya mechi moja ya ligi kuu."Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo
Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.
Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.
Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.
Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.
Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Siwezi kuzaa na zuzu aisee itakua upotevu wa mayai.... 😆 😆Nina watoto 3
Ikikupendeza naomba unizalie, sema jitahidi sana mwanangu asije chukua akili zako huko umbumbumbuni Kwa Rage
😀😃😂Una majibu kingese wewe mbumbumbuSiwezi kuzaa na zuzu aisee itakua upotevu wa mayai.... 😆 😆
Kwa akili hizo utakua umezalisha house girls wa majirani.. hahahah
Haya zuzu... 🤣 🤣😀😃😂Una majibu kingese wewe mbumbumbu
Mwanaume ni msimamoKuna ujinga hata hauna tafsiri. Mojawapo ni kuweka rehani nafasi ya kucheza klab bingwa Africa sababu ya mechi moja ya ligi kuu.
Hama kwenye upande wa Wanachama wa RageHaya zuzu... 🤣 🤣