Ricardo Momo: Yanga wana sababu za msingi kugomea mechi

"Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo

Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.

Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.

Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.

Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.

Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Ukweli mchungu sana huu.
 
Iandike hapa
Nimeshaiweka Kwenye Post za Nyuma Fuatilia..
Screenshot_20250506_192831_Adobe Acrobat.jpg

Sababu ya Simba Ilkkuwa Ya Msingi kwa TFF na Huenda haikuwa ya Msingi kwa Yanga ila kwa TFF ilikuwa ya Msingi so kwa Mujibu wa Kanuni tayar mi Haki ya Kuahurisha Mechi
 
Taka hiyo sababu ya msingi ya TFF kuhairisha mechi
Sasa Hiyo sababu ya Msingi Alipaswa Kuulizwa TFF na Ndo maaan hata CAS wameshindwa Kuamua Hiyo kesi kwa sababu sababu ya Msingi anayo TFF na Bodi ya Ligi ambayo Nyinyi Mmesema Hamna Imani nayo..
Kwahyo maana Yake Hata wakitoa sababu gani hamtaridhika nayo
 
Sasa huo ndo uhuni
Sababu haiwezi kuwa Siri ndo maana Yanga wamesema hawaamini TFF kwakuwa kwenye malalamiko hayo wao wana upande wao ambao ni 5imba
 
Acha kujidanganya,simba kamwe hawezi kumfunga Yanga nyakati hizi,naombea sana hizi timu 2 zikutane fainali ya crdb,Yanga bado ni timu bora
Hayo mambo ya kufurahia kufunguna kwenye dabi tumewaachia nyie mkuu , sisi tunataka makombe makubwa makubwa.
 
Hili sakata jepesi kama karatasi, Yanga isaidie kamati za ufundi timu zenye viporo na makolo, tuwatie mpunga wapinzani wa simba timu zikomae na angalau moja ishinde makolo au zipatikane droo mbili tu, then sisi uto tushinde mechi zetu zote kisha derby tunafika pre match na mechi kamili hatuji, ili makolo wapewe points tatu na magoli matatu, kimsingi tunahitaji Simba idondoshe points tatu tu kwisha kazi japo na wao wameshanunua mechi zote kwa marefa wa tff na kuwatia mfukoni CAS.

Lazima heshima iwepo mjini derby uto hatuchezi hata aje ibilisi au malaika, huu ujinga si level za uto, hatucheeeeziiiiii.

Ruksa kusema uto wenye akili ni wawili tu.
 
Na hao marefa wanaotembea na 5imba kila matche utawafanyaje?
 
"Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo

Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.

Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.

Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.

Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.

Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Mkumbo ni mubaya tulishawai mgomea teacher akasema twende staff ebwana ebwana mnaelewa walimu wa hesabati walivyo na mdomo na mbwembwe mixer teacher ni mwana mama uwii
 
SAsa Hilo swala Kuna Haja ya Kuwalaumu Simba kweli??
Kama Bodi ya Ligi wangesema Mechi unachezwa Unahisi Mbgekuwa Hamna Point mpaka sasa?
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
JamiiForums-31645776.jpeg

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
 
Iliahirishwa saa ngapi !?? Simba barua Yao ya kusema hawatoscheza ni ya saa ngapi!?? Mbona mnajitoa ufahamu... Mpaka mchana inahairishwa bodi ya ligi walisema mechi ipo ..wakati Simba walisema jana yake usiku hawachezi ....
Simba walisema hawachezi ila hawakuhairisha mechi, bodi ya ligi ndio walioahirisha mechi, ilipaswa bodi ya ligi isimamie uwamuzi wake wa kusema mechi ipo.

Kwenye hili sakata naunga mkono maamuzi ya timu zote mbili, Simba walitaka kukomesha mambo ya makomandoo na yanga wanataka kukomesha ujinga wa tff na bodi ya ligi, huwezi ahirisha mechi kizembe vile.
Ingawa yanga sidhani kama watatoboa siasa ikiingilia kati.
 
Imeisha hiyo cheza na Karia mbumbumbu mwenzenu
Usichoelewa hii ishu itamalizwa kisiasa kama ishu ya FEI TOTO ilivyomalizwa, kauli moja tu kutoka jumba jeupe fei akaenda AZAM, subiri sasa uone yanga akileta timu tar15.
SIASA BONGO KILA SEHEMU.
 
Simba walisema hawachezi ila hawakuhairisha mechi, bodi ya ligi ndio walioahirisha mechi, ilipaswa bodi ya ligi isimamie uwamuzi wake wa kusema mechi ipo.

Kwenye hili sakata naunga mkono maamuzi ya timu zote mbili, Simba walitaka kukomesha mambo ya makomandoo na yanga wanataka kukomesha ujinga wa tff na bodi ya ligi, huwezi ahirisha mechi kizembe vile.
Ingawa yanga sidhani kama watatoboa siasa ikiingilia kati.
Bora wewe nimekuelewa....
 
Back
Top Bottom