Ricardo Momo: Yanga wana sababu za msingi kugomea mechi

Ricardo Momo: Yanga wana sababu za msingi kugomea mechi

Nambie sababu zipi za msingi ambazo zilifanya mechi kuhairishwa
Acha ujuha, ulichoandika ndio jibu ya nilichouliza?
Btw statement zilizotolewa na Simba pamoja na mamlaka zilieleza sababu ambapo wao waliona ni za msingi. Kama wewe uliona si za msingi, ni tafsiri Yako! Kama vipi wewe binafsi chukua hatua unazoweza kukabiliana na hili na si kuleta makasiriko huku we kilaza!
 
Hama kwenye upande wa Wanachama wa Rage
Mimi kwangu Rage ni mtu tuu kama mimi ..na ninatoa maoni yangu yaliyoenda shule nadhani mwenyewe ukisoma una sema yeees Kalpana ana point sema ushabiki tuu na kukaza fuvu...
Au unasemaje wewe mr Uto...
 
Me huwa nakuona mbumbumbu tu
Huna hoja wala nini zaidi ya pumba tu
Wewe ndo wale Rage alisema 5imba imejaa mambumbumbu tu
 
Mwanaume ni msimamo
Nje ya siasa hakuna mtu mwenye akili timamu atasusia nafasi ya kucheza Klabu bingwa Africa.

Hakuna msimamo zaidi ya kutoa nafasi ya kisiasa ili mwanasiasa apate umaarufu kwa kutatua tatizo linalotengenezwa.
 
kwani kuna kipimo unatakiwa ushindwe kesi ngapi aliye waita mbumbumbu hakukosea
Sasa CAS unapeleka makaratasi page 49 takataka tupu kama sio ungese ni nini
Hujui CAS inadeal na nini pumbavu mwiko nyuma
 
Nje ya siasa hakuna mtu mwenye akili timamu atasusia nafasi ya kucheza Klabu bingwa Africa.

Hakuna msimamo zaidi ya kutoa nafasi ya kisiasa ili mwanasiasa apate umaarufu kwa kutatua tatizo linalotengenezwa.
Shida Iko wapi
Acha Karia aipe timu yake points za mezani
Na awape ubingwa kivyovyote ili afurahie nafsi yake na wanasimba
Wewe shabiki wa 5imba furahia tu umeokota kombe
 
Sasa CAS unapeleka makaratasi page 49 takataka tupu kama sio ungese ni nini
Hujui CAS inadeal na nini pumbavu mwiko nyuma
mbona CAS ajasema katupilia mbali madai ila kasema warudi kwenye mamlaka kwanza

cha ajabu na umbumbumbu wa mamlaka wao wamekimbilia tangaza ratiba badala wamalize changamoto walizo zitengeneza
 
Shida Iko wapi
Acha Karia aipe timu yake points za mezani
Na awape ubingwa kivyovyote ili afurahie nafsi yake na wanasimba
Wewe shabiki wa 5imba furahia tu umeokota kombe
Kombe la ligi si furaha ya wanaSimba. Simba imeshabeba sana hilo kombe. Kuna furaha inatafutwa ya aina nyingine.
 
Back
Top Bottom