Ricardo Momo: Yanga wana sababu za msingi kugomea mechi

Msimamo wenu ishu ya FEI uliishia wapi?
Mtani wanaposema nyie Simba wote ni mbumbumbu na kweli ona hii comment yako, huu ni ushahidi kamili, yani kwa kutumia ubongo kweli ishu yule dogo ambae tulikomaa nae ndo ulinganishe na sakata kubwa kama hili la kugoma kucheza derby, hivi unajua Yanga ilitumia millioni ngapi kufanya maandalizi, unajua kiwango cha hasara ambacho klabu imepata? watu wangapi walipata hasara ya kusafiri kuja Dar toka kila mahali Duniani, wakipanga mahotelini, je watu wangapi walinunua tickets na Simba wakakimbia kuepuka kichapo na ujue hata mechi ikirudiwa kwa kutumia zile tickets ambazo hazikutumika kuna maelfu ya wanasoka hawataweza tena kuja uwanjani, wengine wameshasafiri na hata kuna waliokufa, huu ni wizi tu kama wizi mwingine. Yanga ina haki kulalamika msiwafumbe midomo.

Lazima tuseme ukweli makolo na bodi ya ligi wameukosea sana mpira wetu na hili liwe la mwisho, na hili halikubaliki
 
June 15 makolo wataenda wenyewe uwanjani
hapo pagumu. Wataenda uwanja upi? Yanga ndiye mwenyeji wa mechi ndiye mamlaka ya kuchagua venue. Refer mechi za azam vs simba/yanga zilizochezwa kwa mkapa wakati azam complex upo.
 
Wenye akili tuko watatu tu h7ku yanga
Sasa hivi huko Yanga mwenye akili ni Mzee Magoma peke yake, ni yeye ana uchungu na Club hao wengine wako kama mbwa wenye kichaa wanabweka tu eti hata tupokwe point 15 hatujali, hizo ni kauli za watu wenye mihemko mtu.
 
Acha kujidanganya,simba kamwe hawezi kumfunga Yanga nyakati hizi,naombea sana hizi timu 2 zikutane fainali ya crdb,Yanga bado ni timu bora
Unajua maana ya 'kamwe' au unajiandikia tu. Hakuna klabu hapa Afrika ambayo inaweza kusema 'kamwe' haiwezi kufungwa na Simba.
 
Unaelewa maana ya "nyakati hizi",au ili mradi uniquote tu?
Hata iwe ni nyakati hizi huwezi kutumia neno 'kamwe'(never).Kwa hiyo wewe unaamini kabisa Simba Vs Yanga, win probability Kwa Yanga ni 100% na Simba ni 0%. Tumia akili na sio mihemko.
 
Hawa watu wa Simba sijui Rage aliwafikiriaje kiwaita mbumbumbu.... Yaani hawahawa ndio waliogoma kuleta timu uwanjani wakisema mpaka pale waliofanya uhuni waadhibiwe ndio watapeleka timu uwanjani ..ila ndio haohao Sasa wanapaparika kushabikia tarehe 15 mechi ichezwe ...swali wale wahuni walisema mpaka waadhibiwe wameadhibiwa lini!?? Ukiwauliza wao ni lete timu ... Hawa jamaa ni mbumbumbu mno ...wamehasahau walicholalamikia
 
Simba walifanyiwa fujo na waakandika barua rasmi ya malalamuko kwenda bodi ya ligi kuhusu kilicho tokeo na Nia yao ya kutokucheza baada ya kufanyiwa fujo.
Kwa mujibh wa barua ya kuahirisha mechi kutoka bodi ya ligi walisema walipata barua kutoka kwa Kamishina wa mchezo na Afisa usalama wa mchezo ambao walishuhudia fujo wakati Simba ana taka kutumis haki yake ya kikanuni ya kufanya mazoezi.
Baada ya kupata ripoti bodi iliahairisha mchezo kwa kufata kanuni ya 34 kipengele Cha 3.
 
Hao unaowaita makolo kwenye hili sakata unawaonea tu, wao sio walioahirisha mchezo, kama makolo wangegoma kuja uwanjani adhabu inajulikana.
Pili kaa ukijua wanasiasa wetu hawajali yote uliyoyaandika, watakacho amua wao ndio kitafanyika, ushangai mkutano mkuu wa ccm lakini GSM na Injinia walienda dom kushiriki huku wanajua kuwa wana game kubwa inawakabili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…