shatisuruali
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 921
- 2,842
Yupo kweli kwenye list ya matajiri 100 afrika?? Nadhani pesa anayo ndiyo lakini ni bad spender mtu wa kucheza na mashabiki tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faiza huwa anzungumzia mzizima...Faiza ni mkubwa zaid anazungumzia Dar ya nyuma zaid
ni ndugu na yule Junaitha?
Baba Malawi, Mama NyakyusaHawa kina pemba wazazi wao hawana asili ya Tz hawa kama sio wamalawi ni wazambia sikumbuki vizuri...kule mtaani upanga walikua wanajulikana hivyo sio wa Tz
Albahatika?Huyu jamaa ninamkumbuka alikuwa mkali wa break dance miaka hiyo ya 19 kweusi, pamoja na kaka yake Eliud Pemba, mjengoni tulikuwa tunawaachia nafasi kwakweli.
Aisee[emoji23]Bro wake anavaa nguo za kike lakini sio Shoga