a.k.a_Mimi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 292
- 113
doh! hii sio kweli mkuu....alikuwa anaishi uingereza maisha ya kawaida ya box akazaa na mzungu akapata uraia wa uingereza. utajiri wake sio wa halali unatokana na black market escrow. wanaija wanaita 419.Alikwenda Uingereza akadate bint ambae baba yake ana club ya mpira, mzee alimwambini Jack mazima kuja kuendeleza football Tanzania, alitegemea atajenga academy wawe wanachukua vijana moja kwa moja kwenda kucheza Ulaya.