jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,688
Jack Pemba hajawahi kuwa break dancer,utakuwa umechanganyaHuyu jamaa ninamkumbuka alikuwa mkali wa break dance miaka hiyo ya 19 kweusi, pamoja na kaka yake Eliud Pemba, mjengoni tulikuwa tunawaachia nafasi kwakweli.