Rich Gang; Huyu Ndo Jack Pemba Bwana

Rich Gang; Huyu Ndo Jack Pemba Bwana

Alikwenda Uingereza akadate bint ambae baba yake ana club ya mpira, mzee alimwambini Jack mazima kuja kuendeleza football Tanzania, alitegemea atajenga academy wawe wanachukua vijana moja kwa moja kwenda kucheza Ulaya.
doh! hii sio kweli mkuu....alikuwa anaishi uingereza maisha ya kawaida ya box akazaa na mzungu akapata uraia wa uingereza. utajiri wake sio wa halali unatokana na black market escrow. wanaija wanaita 419.
 
Napata PM hapa wameshare Baba.Yule Junaitha anaonekana alibadili dini baada ya kuolewa na muislam,hata ile sura yake ukiikokotoa miaka 10,nyuma,utapata mtu kutoka Mwakaleli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiikokotoa...

inawezekana kabisa mbona sasa yule jacky hajitambui kaahhh...
Napata PM hapa wameshare Baba.Yule Junaitha anaonekana alibadili dini baada ya kuolewa na muislam,hata ile sura yake ukiikokotoa miaka 10,nyuma,utapata mtu kutoka Mwakaleli
 
Huyu jamaa ninamkumbuka alikuwa mkali wa break dance miaka hiyo ya 19 kweusi, pamoja na kaka yake Eliud Pemba, mjengoni tulikuwa tunawaachia nafasi kwakweli.
bibie sky eclat hongera kwa kula chumvi nyingi...nimekuwa nafatilia sana post zako hasa zile unazoandika kwenye mabandiko ya mzee Mohamed said.

nilichogundua ni kwamba wewe ni kati ya wale "wadada wa mujini" wa dar es salaam ya enzi za mzee ruksa.

kiufupi kwa hapa JF wewe ni kiboko ya mwanamama faiza Foxy.maana na yeye kwa habari za dar es salaam ya zamani hajambo.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Faiza ni mkubwa zaid anazungumzia Dar ya nyuma zaid
 
Back
Top Bottom