Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
KUTOKA KWENYE MAZISHI UGANDA...... pesa zaidi ya 30 mil zamwagwa ndani ya kaburi la Ivan Don... Kabla ya geneza kuwekwa....!! Ni balaaaaa.....



Rich gang members wakimwaga pesa kaburini kama ishara ya kumuaga boss wao



Panalindwa
 
Ninavyowajua wa-Ganda labda jeshi la polisi lihamie hapo
Umeona..wanataka kusababisha kaburi lifukuliwe. Na hao walioweka pesa hawajamtendea haki marehemu. Na sidhani aliwaambia wafanye hivyo siku akifa.
 
Habari ndg zangu wana Jf.. Katika hali ya kushangaza,ili kauli ya kusema kuwa *utakufa na kuacha pesa zako zote*, leo imevunjwa na matajiri wa kiganda baada ya kuamua kutupia zaidi ya shiling milion 30 za kibongo kwenye kaburi la Raisi wa mataji*RichGang*ivan don kabla ya mwili wake kuzikwa..
Hi ni hali ambayo wengi hawakutarajiwa,
..... Ivan kafa kazikwa na pesa zake.......
 
Kutakuwa na walinzi kaburini muda wote??
 
Sasa familia ngapi wenye hali duni wangenufaika na hizo hela. Ningefurahi Museveni angelizungumzia hilo, na wote waliofanya hivyo kuchunguzwa walivyo zipata hizo hela, maana hawana uchungu nazo na sio watu wenye huruma ama imani

Sasa milioni 30 ya uganda si ni 5000 ya bongo hii ni exchange rate ya 2015 inawezekana ikawa hata 3500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…