Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umerudi lini?Ninavyowajua wa-Ganda labda jeshi la polisi lihamie hapo
Hivi huamini au?Hivi mtoa mada unaijua 30m ?, au unadaiwa na bank hiyo 30m ndio maana unaitajataja .
Halafu nani kateremka kaburini akazihesabu?mmmh hizo noti za elfu kumi na elfu ishiri za kuhesabika ndo zimefika zaid ya 30m???
au zipo zingine tofauti na hizo zinazoonekana kwa picha?