Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Kuna mmoja tayari keshaanza isoma namba anaitwa king Lawrence, huyu alikua anabebwa sana na ivan.
Kashindwa kwenda uganda kumzika don kisa hana passport(ipo polisi)ila don alipokuwepo alikua anaenda ug na kurud na hakuna wa kumuuliza
uyo ndo alikuwa boss wao
mambo yakipinda ndani ya miezi3 tu watazirudia
 
Mkuu hawa jamaa milion 30 kwao ni kama unawatajia sh 300\=
Bank inanidai ulipo tupo, bodi inanidai mkopo wa elimu ya juu.

Mtaani nilikopa laki nne niliikopa kwa riba ya laki na ishirini, sasa hivi nalipa hiyo riba tu . Deni bado.alafu nyie mnaitaja 30m
 
Kijiografia Uganda na Kagera (Bukoba) ni sehemu moja.Nyerere tu alilazimisha kuichukua Kagera kutoka Uganda na kuileta Tanganyika.

Idd Amin alikuwa sahihi kuing'ang'ania Kagera...Ili kumfahamu vizuri mtu mweusi wa Afrika,na hasa "MBANTU" wa "Interlacustrine Region" yaani eneo la Banyankole,Buganda na Kagera...Basi pitia tu hata hints za "CULTURAL ANTHROPOLOGY"

Hata Wazungu waliokuja kama Wapelelezi waliliona hili linalofanywa na hawa "Rich Gang Members".Mmisionary alipokuja Tanganyika kutokea Zanzibar,aliruka mikoa yoooote,akaweka makazi kwanza pale "Rubya-Bukoba" kabla ya kwenda sehemu nyingine.Aliisoma vema report ya wale "Explorers"
Naona umetumia njia ndefu 'kuwaelezea'!
 
moja ya viwango vya juu kbsa vya ujinga na ulimbukeni wa binadamu kuwahi kutokea kwenye hadhara
 
Nyinyi wote mlikosea kuzihesabu hizo hela, ni dolar milioni mbili.
 
''hakuna tofauti kati ya tajiri na maskini/uvae bukta uvae suti ila wote tutazikwa chini''-Stamina
 
Back
Top Bottom