Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Ila wakitaka kuzika watazitoa maana Uganda nikosa kisheria kufukia pesa maana unapunguza pesa kwny mzunguko
 
Sijui sheria za Uganda zinasema kuhusu kuheshimu pesa yao ila ukijaribu Tanzania utakutana na jinai.
 
Mhh, kumbe Uganda bado kuna wale Ndama Mutoto ya Ng'ombe
 
Uongo mtupu hazifiki million 30. Na ninavyopajua Uganda lazima lifukuliwe labda waweke ulinzi wa siku zaidi ya 30 au wamwage zege......
Hawa wajinga watasababisha matatizo zaidi kwa familia...
 
wazungu huwa wanatutukana kuwa "this is what happens when monkeys get money" hawajui thamani na matumizi halisi ya pesa.
 
Wanatambika hao...
Waafrika shida sana...sipati jamaa angekua na pesa mfano kama Billgates...?
 
Haya mambo niliyashuhudia kwa movie za kinaigeria za Billionaire Clubs kumbe yapo daaaah!!!?
Kufuru hii ndani ya huu mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Au jamaa ni wale wale waliotafuta pesa kwa njia asizoridhia Mwenyezi Mungu?
 
So what? Shem on sisi poorers maana hatujijui kama sisi ni poorers
 
Umeona..wanataka kusababisha kaburi lifukuliwe. Na hao walioweka pesa hawajamtendea haki marehemu. Na sidhani aliwaambia wafanye hivyo siku akifa.


Ndiyo maana yake, hawana mapenzi naye. Wanamsakizia makusudi ili kaburi la mshikaji wao lifukuliwe alafu wamcheke.
 
Wanataka wawatie watu dhambi bure, mtu mwingine hapo tayari anawaza ni jinsi gani atakuja kufukua hyo kaburi.
 
  • Thanks
Reactions: 247
Ulimbukeni tu, huduma za kijamii duni Sana Uganda, wangezipeleka huko
 
Sasa milioni 30 ya uganda si ni 5000 ya bongo hii ni exchange rate ya 2015 inawezekana ikawa hata 3500
Acha uongo million 30 ya Uganda nikama million 22 ya Tz. Kumbuka mpaka sasa exchange rate ni 1.5. Yani ukiwa na 10000 ni sawasawa 15000 ya Uganda.
 
Back
Top Bottom