Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Sasa familia ngapi wenye hali duni wangenufaika na hizo hela. Ningefurahi Museveni angelizungumzia hilo, na wote waliofanya hivyo kuchunguzwa walivyo zipata hizo hela, maana hawana uchungu nazo na sio watu wenye huruma ama imani
Una mawazo ya kimagufuri kweli wewe. Huo umasikini wako lia na mungu wako.
 
Millions of hard cash with no particular tangible investment apart from buying champagne and being displayed in the grave of their fellow Rich Gang member? What do they do to generate such cash? I envy their affluent life.
 
Sasa milioni 30 ya uganda si ni 5000 ya bongo hii ni exchange rate ya 2015 inawezekana ikawa hata 3500
Uwe unasoma thread yote na unaielewa siyo unakurupuka tu pia hapa si sehemu ya kujiaibisha kama hujui kitu kaa kimya yaani milioni 30 ya kiganda ni swa na elfu 5?
 
Nanilivyokuwa sina ata mtaji wangenipa ata kamilioni tano ningewaona wamaana sana
 
Labda kashindwa tofautisha zimbabwe na uganda
Uwe unasoma thread yote na unaielewa siyo unakurupuka tu pia hapa si sehemu ya kujiaibisha kama hujui kitu kaa kimya yaani milioni 30 ya kiganda ni swa na elfu 5?
 
Sasa milioni 30 ya uganda si ni 5000 ya bongo hii ni exchange rate ya 2015 inawezekana ikawa hata 3500
Mkuu naona umeamua kutulisha matango pori. Shilingi za kiganda 30m ni sawa na milioni kumi na nane point kadhaa za kitanzania.
 
Back
Top Bottom