Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Hivi hawakuzitoa kweli kabla ya kuweka geneza?...make tunaona picha kabla ya geneza..pls tunaomba picha wakiwa wanaweka geneza na pesa zikiwa bado zipo kaburini.
 
Mimi nadhani huwezi dhalilisha pesa sababu ina utambilisho wa heshima. Inabidi washtakiwe. Kwanini wasinunue hata gold basi wakamwekea maana hizo zitadumi maisha. Pesa zitaoza naye.
 
Duuuuuu
 

Attachments

  • IMG_20170531_150218_471.jpg
    IMG_20170531_150218_471.jpg
    95.8 KB · Views: 67
Mil 30 hyo [emoji23][emoji23][emoji23] acheni uongo hata mil1 haijafika halaf ni hela ya uganda hyo haina hata dhamani[emoji23]
Kwa vile nimeishi Kaburu, nimeziona 200 Rand za kutosha mle shimoni, but haimaanishi nakubariana na kiasi hicho cha 30 millions.
 
Daah watu wana kufuru na hela aisee
Kuna kitu huwa najiuliza sipati picha wala jibu lake kwa ufasaha.
Hivi mbona wazungu hata wawe na hela "chura haruki" huwa hawanaga
huu ulimbukeni na ujinga tulio nao Waafrika wa kiafrika..?

upload_2017-5-31_16-7-50.jpeg

upload_2017-5-31_16-8-17.jpeg
 
Mweusi atabaki kua mweusi tu hata apake Carolite
 
kwa mfano ingetokea tanzania hiyo kufuru unadhani nini kingetokea kwenye serikali yetu, au tu niulize je fedha inaruhusika kutumika hivyo na utawala unaona tu.?
 
Back
Top Bottom