Hahaha unamapenzii Haswa na Almasi, yaani Mpaka Yamepitiliza, Lakin Ndio Vizur
Wema amepost picha hizo kwenye insta kumwombea apigiwe kura...wamezitoa huko.
Kwani kamwambia hana uwezo?
Huyu nae stress za mkewe zinampeleka siko!
Diamond uwa anaheshimu sana fans wake.
Hiyo ya hawezi kushushwa ni ujumbe kwa wa husika waliomfanya aandike msg ile ndio amewaambia hayo.
Na kuna la nyuma ya pazia hatulijui sie wadau kilicho msukuma kuandika yale yote as sio kawaida yake, ana vumiliaga mengi sana kwa hili kuna jambo zito sanaaa.
Hao rich gang wanatafuta kiki walipoa karibu kusahaulika pia...wamerudi wanatetemesha wa TZ tena. Watajiju na wanaotaka kuhusika nao.
Huwa unajitahidi sana kumsafisha domo, lakin kwa dharau alizoonyesha jana hasafishiki, wabongo hawapendi dharau, aende huko nigeria
Hao wajinga pumba....vuu akili yao kma y wema watasubiria sana kiba kumshindanisha n domo,nyota y domo imewaka hata wazibe n kaniki nyeusi haisaidii.kiba nyota yke ilishafifia kushindana n domo atapasuka kinyeoo
Mie sihitahidi bali naandika bila kula kona kona. Hajawaonyeshea fans wake dharau. Na alichokiongelea ni dharau? Kuna jambo nyuma ya pazia.
Najua wewe haumfagiliagi unapenda kusemaga unasubiri ashukr, haya mumepata mwanya basi kumshusha shughulikeni mitandaoni mjifurahishe.
Kumbe wewe umeona ile.statement ya kawaida eeee, hahaha umelishwa unga wa ndere, nilikuwa nikimfagilia ila toka nilipogundua ni mswahili wa kutupwa, hana kifua, anajishaua kama mtoto wa kike hapo ndo nilipombwaga, mi nimetoa maono yangu tu, mkitaka yachukueni hamtaki potezeeni. Najua uko kwenye management yake, so ujumbe umefika
Popcorn za sukari zinahusika hapa. Wasije wakambebesha sembe na ufadhili huo. We need a black party kwanza
Dud kweli sisi ni shamba la bibi,wanatupiga WAZUNGU,WACHINA,WAHINDI na sasa hata WAGANDA washagundua sisi mbumbu tena wengi wako uko INSTA wanatumia fursa mweeeeee mbombo ngafu.
Hayo matusi ndo yatakayompoteza mswahili mwenzenu kwenye game
Sasa mkuu hao waganda wametumia vipi fursa?kutaka kwao kumfadhili kiba kwa bifu lao na diamond ni tatizo?Happens everywere enemy of your enemy is a friend , hapo ni kiba tuu atumie busara aachane na tifu zao
Unadhani wataweka sarafu zao kibwege tu wewe ngoja waje wakuze majina yao kupitia sisi wakuandalie na party wapige mpunga wewe ukiamini ni bifu and blah blah kama huamini waangalie wadogo zako kule Insta utanielewa na jua mfano Zari leo hii akiamua kupiga mnada PICHU yake aliovaa na akaweka kiingilio pale uwanja wa Taifa tutaenda,Ubepari una rangi nyingi kama upinde wa mvua.
Kumbe wewe umeona ile.statement ya kawaida eeee, hahaha umelishwa unga wa ndere, nilikuwa nikimfagilia ila toka nilipogundua ni mswahili wa kutupwa, hana kifua, anajishaua kama mtoto wa kike hapo ndo nilipombwaga, mi nimetoa maono yangu tu, mkitaka yachukueni hamtaki potezeeni. Najua uko kwenye management yake, so ujumbe umefika