Rich gang: Mume wa Zari yuko tayari kumfadhili Ali Kiba

Hahaha unamapenzii Haswa na Almasi, yaani Mpaka Yamepitiliza, Lakin Ndio Vizur

Na mie nikijisoma najishangaa ila najijua siandiki pumba...lol, hadi my MR akiulizwa sasa nani nampenda kimuziki TZ/Africa atajibu mtoto wa Tandale na kumalizia kumtaja.

Maisha yake, alivyoanza, alivyouza barabarani, bidii yake, kuthamini ili na lile etc vimechangia mie kuwa hivi...
 
Hivi tuzo za kili zinawasaidiaje wanamuziki.maana kuna mtu ameshapata tano kwa mkupuo na simsikii tena
 
Diamond uwa anaheshimu sana fans wake.

Hiyo ya hawezi kushushwa ni ujumbe kwa wa husika waliomfanya aandike msg ile ndio amewaambia hayo.

Na kuna la nyuma ya pazia hatulijui sie wadau kilicho msukuma kuandika yale yote as sio kawaida yake, ana vumiliaga mengi sana kwa hili kuna jambo zito sanaaa.

Hao rich gang wanatafuta kiki walipoa karibu kusahaulika pia...wamerudi wanatetemesha wa TZ tena. Watajiju na wanaotaka kuhusika nao.

Huwa unajitahidi sana kumsafisha domo, lakin kwa dharau alizoonyesha jana hasafishiki, wabongo hawapendi dharau, aende huko nigeria
 
Mie sihitahidi bali naandika bila kula kona kona. Hajawaonyeshea fans wake dharau. Na alichokiongelea ni dharau? Kuna jambo nyuma ya pazia.

Najua wewe haumfagiliagi unapenda kusemaga unasubiri ashukr, haya mumepata mwanya basi kumshusha shughulikeni mitandaoni mjifurahishe.
 
Hao wajinga pumba....vuu akili yao kma y wema watasubiria sana kiba kumshindanisha n domo,nyota y domo imewaka hata wazibe n kaniki nyeusi haisaidii.kiba nyota yke ilishafifia kushindana n domo atapasuka kinyeoo

Hayo matusi ndo yatakayompoteza mswahili mwenzenu kwenye game
 
Mie sihitahidi bali naandika bila kula kona kona. Hajawaonyeshea fans wake dharau. Na alichokiongelea ni dharau? Kuna jambo nyuma ya pazia.

Najua wewe haumfagiliagi unapenda kusemaga unasubiri ashukr, haya mumepata mwanya basi kumshusha shughulikeni mitandaoni mjifurahishe.

Kumbe wewe umeona ile.statement ya kawaida eeee, hahaha umelishwa unga wa ndere, nilikuwa nikimfagilia ila toka nilipogundua ni mswahili wa kutupwa, hana kifua, anajishaua kama mtoto wa kike hapo ndo nilipombwaga, mi nimetoa maono yangu tu, mkitaka yachukueni hamtaki potezeeni. Najua uko kwenye management yake, so ujumbe umefika
 
Nadhani ulikuwa hujui kwanini unamshabikia.
 
Bado hajapatikana msanii mwenye hekima na busara kama diamond hapa bongo,wacha wafu waungane na wafu wenzao kwenye vita dhidi ya wenye uhai!

Mpaka wema sepetu leo hii na yeye anshiriki kutaka kumshusha diamond kisa mapenzi??tena yeye mwenyewe wema ndie aliyeacha leo hii anakuwa mnafiki kiasi hiki??

Safi sana Ally kiba kwa kukaa kwako kimya,afadhali umeelewa mapema kama Wema na Hao Drugdealers wa kiganda wanataka kukutumia kwenye bifu lao na diamond ambalo kimsingi halikuhusu na wala halikusaidii,Viva Ally K.
 
Humu watu wanamwanga povu tu huku wahusika wakiwa wame relax samewhere
 
Dud kweli sisi ni shamba la bibi,wanatupiga WAZUNGU,WACHINA,WAHINDI na sasa hata WAGANDA washagundua sisi mbumbu tena wengi wako uko INSTA wanatumia fursa mweeeeee mbombo ngafu.
 
Hivi mnavyosema mtu anahangaika kumshusha kivipi?yan wema kumsifia kiba ndio kumshusha diamond?Naye anaanza kutapatapa sasa anaingia baridi,
 
Dud kweli sisi ni shamba la bibi,wanatupiga WAZUNGU,WACHINA,WAHINDI na sasa hata WAGANDA washagundua sisi mbumbu tena wengi wako uko INSTA wanatumia fursa mweeeeee mbombo ngafu.

Sasa mkuu hao waganda wametumia vipi fursa?kutaka kwao kumfadhili kiba kwa bifu lao na diamond ni tatizo?Happens everywere enemy of your enemy is a friend , hapo ni kiba tuu atumie busara aachane na tifu zao
 
Unadhani wataweka sarafu zao kibwege tu wewe ngoja waje wakuze majina yao kupitia sisi wakuandalie na party wapige mpunga wewe ukiamini ni bifu and blah blah kama huamini waangalie wadogo zako kule Insta utanielewa na jua mfano Zari leo hii akiamua kupiga mnada PICHU yake aliovaa na akaweka kiingilio pale uwanja wa Taifa tutaenda,Ubepari una rangi nyingi kama upinde wa mvua.
 
Wale ni masangoma labda kama watuletee au wamletee ali kiba dawa ya kumchanjia, hawana mda wa ku hold hayo ma party, wameachia wanawake tuu mambo hayo
 
Kumbe wewe umeona ile.statement ya kawaida eeee, hahaha umelishwa unga wa ndere, nilikuwa nikimfagilia ila toka nilipogundua ni mswahili wa kutupwa, hana kifua, anajishaua kama mtoto wa kike hapo ndo nilipombwaga, mi nimetoa maono yangu tu, mkitaka yachukueni hamtaki potezeeni. Najua uko kwenye management yake, so ujumbe umefika

Management gani mie?? hata siusiki kwenye mmo ya muziki wala burudani mie msikilizaji tu.

Kwani haupajui Tandale alipokulia Diamond sasa kwanini asiwe mswahili? tena alikuwa muuza mitumba barabarani kabisaaaa hadi raha kuona alipofikia sasa.
 
Back
Top Bottom