P. Majaribu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 1,192
- 623
Lil Wayne ni mmiliki na Ceo wa Young money wakati Birdman na kaka yake Slim wakiwa ni wamiliki na Ceo wa Cash money. Nicki Minaj na Drake wapo chini ya Young money wakati Young Thugga na wengine kama Dj Khaled wakiwa chini ya Cash money.
Ingawa mwisho wa siku inaonekana ni kampuni moja,ila kibiashara kuna tofauti
Huyu jamaa pia yupo kwenye lebo ya CMB iliyo chini ya Birdman,ni hatari sana huyu mtu hasa kwa ile style yake ya umbrella flo,ukitaka kuthibitisha hilo tafuta ngoma zake kama Lifestyle,Givenchy,bullet au mixtapes zake kama Tha tour part 1&2 akiwashilikisha wanae kama Rich hommie quan na Young thug ni balaa hadi Lil wyne anapiga salute.
Rich Gang ni kundi CO mtu
Samahan naomba kuuliza, hivi ile beef ya Lil Wyne na Birdman inaendeleaje kuhusu wyne kujitoa YMCMB
Here's my take, Wayne ana wivu. Them n!99as were having more than what they were letting out man, or rather what y'all refused to see. They're homos, na Wayne anataka kutoka since Birdman anam-replace na Young Thug as his main. Here's why i see it that wayHopefully haikuwa beef ya muziki bali ni biashara. Lil Wayne Anadai royalties zake kupitia wasanii wake Nicki Minaj na Drake. But at the end of the day I think Ile ni familia na wametoka mbali tangu Lil Wayne akiwa mdogo na umri wa miaka 12.