P. Majaribu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 1,192
- 623
Huyu jamaa pia yupo kwenye lebo ya CMB iliyo chini ya Birdman,ni hatari sana huyu mtu hasa kwa ile style yake ya umbrella flo,ukitaka kuthibitisha hilo tafuta ngoma zake kama Lifestyle,Givenchy,bullet au mixtapes zake kama Tha tour part 1&2 akiwashilikisha wanae kama Rich hommie quan na Young thug ni balaa hadi Lil wyne anapiga salute.