Rich Gang ndiye kiboko ya Lil Wayne


Am not sure if it true ya hicho unachoongea. Zaidi ya picha zinazowekwa kwenye mtandao na story ambazo watu wanazungumza.
Lil Wayne Anadai royalties za takribani Us dollars million 51 kupitia wasanii Nicki Minaj na Drake. Hakuna beef na Wayne alilalamika.
Zaidi wale ni familia. Na Wayne ni mtoto wa kuasiliwa na Birdman.
 
http://huzlers.com/birdman-admits-lil-wayne-homosexual-love-drake-reason-drake-wrote-wrong/
 

Wewe unatudanganya mchana kweupeeee
 

Wewe at least unafanya research
 
Nachoelewa mimi;

CASH MONEY---Ni baba aliyemzaa YOUNG MONEY (YMCMB), Founder ni Birdman 'Baby'

UNIVERSAL MUSIC---Ni babaake CASH MONEY, so naweza sema YMCMB ni mjukuu

YOUNG MONEY(YMCMB)--- Ni kampuni iliyoanzishwa na Lil Wayne, ambapo alimweka rafiki yake Mack Maine kama Rais

RICH GANG---Ni project (album) ambayo inahusisha wasanii wa makundi yote mawili 'baba' + 'mtoto', ingawa wamewashirikisha pia wasanii kadhaa nje ya makundi/kampuni hizi mbili
 

In short, ndio hivyo. Sasa mkuu wa wote hao ni Birdman.
 

YMCMB ipo under lil wayne, CMB ipo under William bros.. Wayne yupo under CMB, automatically YMCMB ipo under CMB.
 

When you call someone gay after he sue you in court of law na anataka umlipe 51mil$$$ men you can't be serious

This thing started with money fresh then juvenile follow the issue was MONEY for God sake!!!!!!!!!

You may say weezy is jealous due to the fact that Birdman nowadays hang with YG all the time but the issue here is releasing of weezy new album the same happen to Tyga men!

What Baby done to Weezy is unfair I like him though

I heard that Juve is back to the crew!
 
You know what, you're right man. I'm just trippin'.
 
You know what, you're right man. I'm just trippin'.

Hapo uliposema tripping nmekumbuka i aint mad at cha moja kati ya nyimbo bora 10 kwang ktk ulimwengu huu


..................Tripping off sherm collect calls to the till, saying how u changed, oh you are muslim now, no mo dpoe games...........



Umenipa mzuka acha niskilize kitu nipate stim ya kuvutia shuka... Usiku mwema inawezekana ukaisoma asubuh, toa usiku na mw asubuh na nj, ili iwe asubuh njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…